Uganda -Tanzania Oil Pipeline is still in the dark

Hujielewi
kwa uchumi kiduchu mlonao,,, hamuwezi finance chochote hata mkishirikiana. mbaya zaidi, hamukopesheki. dhiki hizi ndizo zilizokua zikimkasirisha bwana yule (R.I.P) na kujawa na hamaki. mwishowe anakuja na kauli za, ''tunajenga kwa hela zetu za ndani'' ziko wapi hizo hela???
acheni mihemko Mataga. shirikisheni ubongo sometimes.
this time we have our very own humble and smart Mama SSH, I hope all issues will be ironed out.
kila la kheri Mama. nakutakia mafanikio mema.
 
Hapa unasema kwamba Credit Agricole sio shareholder wa Kampuni ya Total? Ama mimi ndio nimekuelewa vibaya?
 
Hapa unasema kwamba Credit Agricole sio shareholder wa Kampuni ya Total? Ama mimi ndio nimekuelewa vibaya?

Wewe na yule mwenzako Teargass mna shida ya kiingereza. Siku nyingi nimekuwa nikiwaangalia.
Shareholders wa TOTAL ni wafuatao:
1. BlackRock (1st Largest shareholder)
2. Amundi (2nd Largest shareholder)

Now read the following excerpt from the article.

"Amundi, in which Crédit Agricole is the largest shareholder, is the second largest shareholder in Total after BlackRock".

For your benefit, CA is a bank which has a largest chunk in Amundi. Also Amundi has a second largest chunk in TOTAL.
Now do you see the third party (passivity) relationship between bank CA and TOTAL? Also EACOP is btn TOTAL and CNOOC.
So for this note, Crédit Agricole is just a creditor for the EACOP (through TOTAL) and kinda of related stuff.
 
hii kitu kumbe iliwauma sana wakenya. Tanzania kwa sasa haina muda kupoteza kujadili upuuzi na watu wa aina hii, hata mradi huo usipofanikiwa ipo mingine mingi inakuja. kama kuumia moyo kenye mtaumia sana.
The tune is silently but surely changing 😂 😂 The clouds are gathering and it's going to open the floodgates
 
Kuna mikono wa mtu lazimaa...
 
+254 ni kaa la moto kwenye hii project
 
Tatizo wanatumia mihemko kwenye huu mradi badala ya akili, wamekomalia kulaumu Kenya badala ya kujibu hoja zilizoibuliwa, kama mliambiwa tatizo kwamba hamjafanya upembuzi wa kimazingira ipasavyo, mjibu hizo hoja acheni kulia lia kuhusu Kenya.
Kumbe kuna mikono wa Kenya. Ndio sababu ya kuzuia mahindi kwenda kwao. Hili ...................m
 
Wakenya wajinga sana, Kwa hizo pesa zenu mingi si mkopeshe Total mchukue riba na malipo ya mkopo miaka 20?
Badala ya kuona fursa nyie Matajiri mnakuja huku na vijembe, Taarabu na vinginevyo
Leo wewe si mkenya tena Kijana wa "thedegua"? 😂 Wewe mnyamwezi wacha kutaliki nchi yako mbele ya umma
 
Ushaambiwa kwamba AC is a shareholder in TOTAL but you are still maintaining that it's a stakeholder. Do you know the difference between a shareholder and a stakeholder? These are two different things. Mbona unalazimisha mambo wakati kila kitu kipo wazi? Ama kiingereza ndio inakupiga chenga?
 

Bwege kabisa.
Kwenye orodha ya shareholders wa TOTAL, CA wapo?

na Amunda je?
BlackRock nao ni nani?

kiingereza ni shida kwenu. Bora niwaache tu.

lkn soma hii from the article.

"Amundi, in which Crédit Agricole is the largest shareholder, is the second largest shareholder in Total after BlackRock".
 

Hehehe dayaspora wa Buza kingereza humtesa sana.
 
Teargas utafanya Geza afuate pombe ! Ondoa hii thread ili Geza azidi kuwa Jamii forum juu hii pipeline deal ikienda na maji bila shaka Geza hamutawahi msikia tena JF ,atatokomea kama Ile Ndege ya Malaysia !
 
Kiingereza inakusumbua sana ndugu yangu. The bolded part clearly says that Credit Agricole is the largest shareholder in Amundi, the company with the second largest shares in TOTAL.

Kwa ufupi ni kwamba, licha ya kumiliki the second biggest shares in Total, Amundi is also owned by other companies, with Credit Agricole being one of them. I know it's a little confusing but take your time and understand
 
He😂He😂He😂He
 
Wazee hivi mode ya kutuma application ikoje mbona nikitembelea site yao sipati maelezo kamili jinsi ya kutuma maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…