Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee tuende taratibu. Usinipe maneno mengi. Nimekuuliza swali rahisi sana na nataka jibu la ndio au la. Usinipe maelezo kwanza. Tutakuja kwa maelezo baadaye.
Swali langu ni je bado unabakia na kauli yako kwamba Credit Agricole sio shareholder wa kampuni ya Total. Nipe ndio au la halafu utafafanua baadaye.
Wazo la kipuuzi sana...As I have been saying, this needs to be a regional project....it literally could transform this region in several ways. Tanzania Kenya Uganda s.sudan Congo and ethiopia.
Literally this is the type of project that would stop the wars and squabbles that plague our corner of the planet
But then again, T.I.A
Hata compensation, site cleaning etc ambazo ziko chini ya serikali husika ni steps za ujenziNiliskia ujenzi unawnza huu mwezi? Has materials reached the site yet?
Hahaha naona unajaribu kubadilisha goal post. Hakuna mtu yeyote aliyesema kwamba Credit Agricole huwa ina-attend AGM ya Total. Hapa hatuongei kuhusu AGM maana sio shareholders wote ambao huwa wana-attend AGM. Kwanza wale shareholders wadogo wadogo wanaomiliki 0.0001% of the shares sio lazima wa-attend AGM. Hapa hatuongei kuhusu AGM usibadilishe story. Kuna Wakenya wengi ambao wanamiliki shares za Safaricom ila sio wote ambao wana-attend AGM ya Safaricom. Anyway swali langu bado linabakia pale pale na naomba ulijibu tafadhali. Bado unashikilia kauli yako kwamba Credit Agricole sio shareholder wa Total?Sikiliza mdogo wangu, AC ni shareholder wa Amundi. Na si shareholder wa TOTAL. Bali Amundi (second largest shareholder) na BlackRock (majority shareholder). For this note AC cannot sit in TOTAL AGM. But Amundi will do.
AC will in the Amundi AGM coz is where has a biggest chunk of stock.
Msipoelewa hapo basi itabidi nijitoe.
🤣🤣🤣
Hahaha naona unajaribu kubadilisha goal post. Hakuna mtu yeyote aliyesema kwamba Credit Agricole huwa ina-attend AGM ya Total. Hapa hatuongei kuhusu AGM maana sio shareholders wote ambao huwa wana-attend AGM. Kwanza wale shareholders wadogo wadogo wanaomiliki 0.0001% of the shares sio lazima wa-attend AGM. Hapa hatuongei kuhusu AGM usibadilishe story. Kuna Wakenya wengi ambao wanamiliki shares za Safaricom ila sio wote ambao wana-attend AGM ya Safaricom. Anyway swali langu bado linabakia pale pale na naomba ulijibu tafadhali. Bado unashikilia kauli yako kwamba Credit Agricole sio shareholder wa Total?
Now somo limeeleweka, there is no place CA meets TOTAL. TOTAL hamjui CA bali anamjua Amundi. Kama kuna kitu, It have to table through Amundi.Yes it does through its sister company Amundi, in which it is the largest shareholder. Amundi, which has the second biggest shares in TOTAL, must first get the green light from from its owners CA before entering any business deal. Hope this has now made everything crystal clear for you
Nyie kenya mlivyokuwa mnataka bomba lipite huko kwenu mlishafanya upembuzi?Tatizo wanatumia mihemko kwenye huu mradi badala ya akili, wamekomalia kulaumu Kenya badala ya kujibu hoja zilizoibuliwa, kama mliambiwa tatizo kwamba hamjafanya upembuzi wa kimazingira ipasavyo, mjibu hizo hoja acheni kulia lia kuhusu Kenya.
Nyie kenya mlivyokuwa mnataka bomba lipite huko kwenu mlishafanya upembuzi?
Kitu usicholewa ni kwamba ili Amundi iingie kwenye mkataba wowote, ni lazima ipate idhini kutokaCA. CA calls the shots here and there's nothing you can do about it. Amundi haiwezifanya chochote bila blessing ya mmiliki wake CANow somo limeeleweka, there is no place CA meets TOTAL. TOTAL hamjui CA bali anamjua Amundi. Kama kuna kitu, It have to table through Amundi.
I'm just trying to show you a third party (passivity) relationship between TOTAL and CA.
Kama hujaelewa sirudii tena kuwafundisha. Sijawahi ona wanafunzi wagumu kama ninyi.
Kitu usicholewa ni kwamba ili Amundi iingie kwenye mkataba wowote, ni lazima ipate idhini kutokaCA. CA calls the shots here and there's nothing you can do about it. Amundi haiwezifanya chochote bila blessing ya mmiliki wake CA
then, why did they allow their CEO (total) to sign the SHA and TTA in uganda? If you are the largest share holder of total, then they would have prevented their CEO to sign the tripertite agreement. TOTAL will fund the project, they need to take oil to the world market, otherwise they'll get loss. remember they paid TULLOW almost $ 1 bil to aquire Tullow's share, why all this happen and 2nd shareholder is just watching.Obviously you didn't read the article, when will you stop being lazy. Here is a section of the article.
Amundi, in which Crédit Agricole is the largest shareholder, is the second largest shareholder in Total after BlackRoc
Credit Agricole is one of the banks that are suppose to fund the project. They are also the second biggest shareholders in Total.
an investment bank and shareholdee aee 2 different things. and when it comes to investmwnt banks, they are so many willing to fund the projectSometimes the editors confuse things. In this juncture, like yourself, they are confusing the shareholders (promoters) and the stakeholders.
Credit Agricole is just the investment bank that dishes out credit to shareholders. It has no any shares in the project. The promoters/shareholders of the project are TOTAL and CNOOC. If you lift a veil, what you will see is promoters together with their equity capitals. Nadhani tuko pamoja sasa.
sasa kwanini waruhusu total kutoa almost $1b kununua visima vya tullow? walijua kabisa kwa kiwango cha mafuta cha pipa bil 6 lazima upeleke nje ya east africa huweza east africa. swali ni je waache $ 1b ipotee?Wewe hujielewi na pia huelewi kitu najaribu kukuambia, Credit Agricole is a shareholder in TOTAL and TOTAL is the biggest shareholder in the pipeline. So the Agricole will influence any decision made by TOTAL.
hahahaha. jamaa hajui english. amundi is the socond you are rightWewe ni mjinga tu, unasema eti bank Crédit Agricole is a second largest shareholder in TOTAL while the fact is, Amundi is a second largest shareholder after BlackRock.
[emoji1427][emoji1427][emoji1427]
Amundi, in which Crédit Agricole is the largest shareholder, is the second largest shareholder in Total after BlackRock.
the qn is how much does agricole hold in amondi (2nd largest)Huelewi kingereza nyamaza. Let me break it down for you.
Credit Agricole is the biggest shareholder in Amondi.
Amondi is the second biggest shareholder in TOTAL.
Credit Agricole and Amondi is one thing which makes Credit Agricole the second biggest shareholder in TOTAL.
Rudi Shule ukajifunze kusoma wewe.
The tune is silently but surely changing 😂 😂 The clouds are gathering and it's going to open the floodgates