Uganda warns Nkurunziza: We’ll deploy forces in Burundi

wee jamaa sijuwi ni kinywaji gani unachotumia... kila siku unakuja hapa ukiyumbayumba! kabla ya kutuletea huo ushahidi wa "wauwaji wakubwa" kaa ukijuwa Uganda is not a self appointed negotiator kama ulevi wako unavyokuambia... ni kazi ambayo wamepewa na AU pamoja na UN ...and because of that they are eligible to warn the crazies and let them be aware of the consequences

THIS PLANET NEEDS AN ENEMA!
 
Huyu museveni hachoki kuongoza?mimi hapa nikiwa bado nipo primary ktk miaka ya 80 tena darasa la 3, huyu jamaa ni rais, hivi hazeeki?au ni rais wa milele?Je,uganda hawana sistim kama ya kwetu kwamba rais akifikisha miaka kumi ktk utawala wake ni lazima astaafu kisheria?
 
Africans are so despicable, Sasa naye Uganda anajikuta mbabe kumtishia Burundi.

Hivi kagame na Museveni wana moral position ipi ya kumnyooshea kidole Pierre??
Kwanza wenyewe ni wauaji wakubwa na wanateswa na ukabila.

Africa inachekesha sana.
Mkuu, D.Trump akitupatia vidonge vyetu tunalalamika!! Hivi Trump alisema nini kuhusu M7?

Yaani mambo mengine yanachekesha sana - nani ambea hajui kwamba M7 na mwenzake wana conflict of interest nchini Burundi ambazo ni so obvious, hawapashwi kuruhusiwa kujingiza kwenye masuala ya usuruhishi kwa kuwa ajenda zao za siri zinajulikana na hazijafa - wao wanauchukulia mgogoro huu kama ni a good omen ya kufanikisha kutumbukiza/lazimisha kusimika mteule wao nchini Burundi - 'am sure viongozi weledi Afrika wamekwisha ng'amua maigizo yao, kilichobaki wanawafanyia timing wanajua wapi pa kuwa corner na nullify njama zao hatarishi.

Tatizo kuu la M7 na mwenzake ni kujifanya ni ma wise men wanafikiri viongozi wengine Afrika hawana akili za kuwasoma kisaikolojia, mwaka jana/juzi karibu wamwingize mkenge U.Kenyatta kwa kujaribu ku draw a wedge kati ya Tanzania na Kenya - hivi sasa Kenyatta amekwisha washtukia anakwenda nao hivyo hivyo akili za kuambiwa hivi sasa anachanganya na za kwake, tatizo la Burundi nalo lina chochewa na mkondo huo huo wa kuwa instigated from without - we mtu ambae si Mrundi unakuwaje so overly concern na Nkuruzinza kuliko Warundi wenyewe, unakubali kupoteza ma mega calories kumsema sema ovyo kitu ambacho hata katibu mkuu wa UN hajawahi ku demonise kiongozi wa Burundi.

Ukijaribu kuchunguza kwa umakini unakuta mambo yote wanayo mshutumu Nkuruzinza wao ndio merchant of ... hapa wajifanya malaika kwa kuzuga watu tu, hawana moral Authority yoyote ya kusuruhisha mgogoro wa Burundi,kama wameshindwa kudhibiti waasi wanao toka Uganda na Rwanda kuvamia mara kwa mara Uvira/kivu DRC kwa baraka zao, leo hii wajifanya wana nia thabiti ya kusuruhisha mgogoro wa Burundi wasitake kudanganya watu.
 
Last edited:

Ukijaribu kuchunguza kwa umakini unakuta mambo yote wanayo mushutumu Nkuruzinza wao ndio merchant of ... hapa wajifanya malaika kwa kuzuga watu tu, hawana molar Authority yoyote ya kusuruhisha mgogoro wa Burundi,kama wameshindwa kudhibiti waasi wanao toka Uganda na Rwanda kuvamia mara kwa mara Uvira/kivu DRC kwa baraka zao, leo hii wajifanya wana nia thabiti ya kusuruhisha mgogoro wa Burundi wasitake kudanganya watu.

Thanks Mkuu

To me (as naive as I am)... Kagame na Museveni hawana any legitimacy ya kumnyooshea kidole Nkuruzinza

Kinachowasukuma kufanya wafanyayo kwa Nkuruzinza ni ukabila tu tu!!! Nkuruzinza ni kabila tofauti na wao, and they are up in arms to kill/destroy him

Bahati mbaya sana, AU nao wamedandia treni kwa mbele
 
Mkuu, D.Trump akitupatia vidonge vyetu tunalalamika!! Hivi Trump alisema nini kuhusu M7?

Yaani mambo mengine yanachekesha sana - nani ambea hajui kwamba M7 na mwenzake wana conflict of interest nchini Burundi ambazo ni so obvious, hawapashwi kuruhusiwa kujingiza kwenye masuala ya usuruhishi kwa kuwa ajenda zao za siri zinajulikana na hazijafa - wao wanauchukulia mgogoro huu kama ni a good omen ya kufanikisha kutumbukiza/lazimisha kusimika mteule wao nchini Burundi - 'am sure viongozi weledi Afrika wamekwisha ng'amua maigizo yao, kilichobaki wanawafanyia timing wanajua wapi pa kuwa corner na nullify njama zao hatarishi.

Tatizo kuu la M7 na mwenzake ni kujifanya ni ma wise men wanafikiri viongozi wengine Afrika hawana akili za kuwasoma kisaikolojia, mwaka jana/juzi karibu wamwingize mkenge U.Kenyatta kwa kujaribu ku draw a wedge kati ya Tanzania na Kenya - hivi sasa Kenyatta amekwisha washtukia anakwenda nao hivyo hivyo akili za kuambiwa hivi sasa anachanganya na za kwake, tatizo la Burundi nalo lina chochewa na mkondo huo huo wa kuwa instigated from without - we mtu ambae si Mrundi unakuwaje so overly concern na Nkuruzinza kuliko Warundi wenyewe, unakubali kupoteza ma mega calories kumsema sema ovyo kitu ambacho hata katibu mkuu wa UN hajawahi ku demonise kiongozi wa Burundi.

Ukijaribu kuchunguza kwa umakini unakuta mambo yote wanayo mshutumu Nkuruzinza wao ndio merchant of ... hapa wajifanya malaika kwa kuzuga watu tu, hawana moral Authority yoyote ya kusuruhisha mgogoro wa Burundi,kama wameshindwa kudhibiti waasi wanao toka Uganda na Rwanda kuvamia mara kwa mara Uvira/kivu DRC kwa baraka zao, leo hii wajifanya wana nia thabiti ya kusuruhisha mgogoro wa Burundi wasitake kudanganya watu.

Tukisema ukweli watu wanasema tunatoa vitu out of oblivion.

Huu ushabiki wa mauaji ya watu wasio na hatia utaufikisha ukanda wa maziwa makuu pabaya.

Watanzania endeleeni kuwachekea hawa manyang'au kilio kiko karibu sana.
 
Thanks Mkuu

To me (as naive as I am)... Kagame na Museveni hawana any legitimacy ya kumnyooshea kidole Nkuruzinza

Kinachowasukuma kufanya wafanyayo kwa Nkuruzinza ni ukabila tu tu!!! Nkuruzinza ni kabila tofauti na wao, and they are up in arms to kill/destroy him

Bahati mbaya sana, AU nao wamedandia treni kwa mbele

AU watakuja kujuta vibaya sana siku things are out of control.

Intervention ni suala ambalo hata Mataifa makubwa liliwashinda.
Angalia Iraq na Libya its a bizarre.
 
so what should be done? remember Nkurunziza doesn't want talks, he defies it! he prefers to continue with the killings until he stay alone in Burundi...
 
mchambawima1 natamani kujua exactly HE Nkurunziza anakwenda kujadiliana na nani maana upande wa pili wa conflict sijaona wakiwa wazi wao ni akina nani na wanataka nini (au labda imenipita)
wanataka restoration of the Arusha agreements! upande wa pili ni CNARED na vikundi viwili vya waasi ambao hadi dakika hii bado sijaelewa activities zao ni zipi! LACK
 
Cnaredbni nini? Una link yeyote inawaelezea hao watu?
 
Hahaha being a Tanzanian means what to you? Kwa kinyrwanda tunasema "MJINGA HUJIONA YEYE NDIO BORA" kwa hiyo... Thanx 4 ya help and goodbye!
Ndio shukurani yenu kunguni nyie
Tumewatunza nakuwa somesha mkajua hata kujichamba mkiwa Tz Leo unaropoka upumbavu
 
Huyu museveni hachoki kuongoza?mimi hapa nikiwa bado nipo primary ktk miaka ya 80 tena darasa la 3, huyu jamaa ni rais, hivi hazeeki?au ni rais wa milele?Je,uganda hawana sistim kama ya kwetu kwamba rais akifikisha miaka kumi ktk utawala wake ni lazima astaafu kisheria?
Hayo ndio wanapenda warwanda
 
Ndio shukurani yenu kunguni nyie
Tumewatunza nakuwa somesha mkajua hata kujichamba mkiwa Tz Leo unaropoka upumbavu
MOTOCHINI na we naye kwa malalamiko umeshinda! lakini vilevile shukrani za dhati zimfikie mbinguni, Mzee Nyerere(RIP) aliyetupokea kwa mikono yote miwili na kutupa fursa zote kama watanzia wote... ninauhakika mambo yangekuwa tofauti kama wazazi wetu wangekuta nchi inaongozwa na mjaa chuki kama wewe muha wa kiobondo Maziku Masunga Jr.
 
teh teh teh hakyanani labda ndoto zangu zisitimie za kuja kuwa kiongozi wa Tanzania. Nitaifuta Rwanda katika uso wa dunia.!! Natamani nimkute Kagame akiwa bado madarakani, ili nimsaidie kumkutanisha na watu waliotangulia mbele ya haki kipindi cha utawala wake.
hivi wewe ulivoandika vinahusiana vipi na nilicho kiandika? na huo uchizi wako unaona unaweza kufanya hata campaign? au unafikiri Tanzania ni kama US ambako chizi mwenzako Trump watu wanaweza kumtega masikio?
 
Ulivyoandika hapa chini, ulikuwa unaamisha Maziku Masunga Jr. wa wapi labda.!!
you see! I told you, you are crazy my friend I am sorry to say that but you are really crazy! the whole conversation was about me na yule muha wa Kibondo MOTOCHINI mentioning your name was just an invitation to the convo but nothing was written for you... go and see a doctor man!
 
Back
Top Bottom