Uganda yaamuru mashirika mawili ya Haki za Binadamu kusitisha shughuli zao ikiwa ni siku ya mwisho ya kufanya kampeni

Uganda yaamuru mashirika mawili ya Haki za Binadamu kusitisha shughuli zao ikiwa ni siku ya mwisho ya kufanya kampeni

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Serikali ya Serikali ya Uganda imeamuru mashirika mawili ya haki za binadamu ya ndani kusitisha shughuli zao siku chache kabla ya uchaguzi wa Alhamisi, ambao Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa inasema unafanyika katika mazingira ya ukandamizaji na vitisho. Na leo ni siku ya mwisho ya kampeni nchini Humo. Je, una mtazamo gani kwa hali ilivyo.​

Serikali ya Uganda imeamuru mashirika mawili ya haki za binadamu ya ndani kusitisha shughuli zao.jpg
 
Back
Top Bottom