Uganda yajipanga kuwa power house y E.A. Tanzania yajikongoja

Uganda yajipanga kuwa power house y E.A. Tanzania yajikongoja

Kusema tuna under perform hakuna ubishi...ni kweli tuna potentials ambazo tunaweza kuzitumia tukiwa more serious...

Lakini kutumia absolute figures na kusema sijui tuko nyuma ya Uganda ndio tunaona haiingii akilini...

Namshukuru mdau alokuja na figure za actual performance hapo juu...

Unajua kuwa critical ni kitu kizuri lakini uki criticize bila fact unafanya criticisms zako zisijenge...zaidi ya kuonekana ni nature yetu wananchi kulalamika tu...ikija kwenye suala la serikali hakuna jema...

Lets just agree that Tanzania is under-performing and move on
 
Leo ndio nimeamini kuwa rasilimali za Tanzania zinawatoa udenda na mate Wakenya..!

Waulize waganda kama wanampango wa kuuza umeme nchi za jirani.?

Kagame anavuka border na kuja kwenu kukagua shughuli za miradi ya umeme. Kwann asingeenda ug, ambapo kuna rafiki yake kipenzi.

Ug watangoja sana katika sector ya NISHATI.
 
Huko mutatuonea bure hebu leteni habari zinazo tuhusu kwa mfano; ESCROW,RICHMOND,MISHAHARA HEWA NA N.K....... mambo hayo hata maprofesa wetu hawayataki
 
inaonekana tulikunywa pills za ujamaa ambazo ni long acting. waliokunywa short acting ones kama china na vietnam wameishaamka.

Red Giant, hebu Fanya summary. Uganda wanazalisha MW ngapi, Kenya ngapi na Tanzania ngapi.

Kuishia tu kuorodhesha vituo Vya kuzalisha umeme sio hoja, inaweza kuwa na vituo mia moja ukazalisha MW moja, na mwingine ana vituo vitano tu ambavyo vinaxalisha MW elfu moja.

Vv
 
Siyo sisi tu, kuna mpango wa kuwaonyesha hata watoto wetu kuwa we are nothing, we are not smart and we should better cling vto our neighbors if we want to develop. We need our smart neighbours to survive and live a modern life.
Msikubali hilo, msipende kuwachekea hawa watu. They are serious.
 
Ataamuka wakati mshatafuna non-renewable resources kama madini. Mahandaki tu ndio kila mahali. Bulldog
Hata robo ya kinachotakiwa kubebwa bado hakijabebwa
 
Last edited by a moderator:
Hata robo ya kinachotakiwa kubebwa bado hakijabebwa

Ile siku utafaulu kupata elimu halafu usome takwimu za biashara ya madini nchi yenu ndio utasaga meno, kwa sasa upo na uhuru wa kuendelea kuwa kilaza.
 
Red Giant, hebu Fanya summary. Uganda wanazalisha MW ngapi, Kenya ngapi na Tanzania ngapi.

Kuishia tu kuorodhesha vituo Vya kuzalisha umeme sio hoja, inaweza kuwa na vituo mia moja ukazalisha MW moja, na mwingine ana vituo vitano tu ambavyo vinaxalisha MW elfu moja.

Vv
nimeweka vituo vya hydro na geothermal kwa sababu umeme wake huwa cheap. ni ngumu kuuza nje umeme unaozalishwa kwa mafuta. ukiangalia hayo majedwali utaona tuko nyuma sana. hatuna tofauti na DRC na si ajabu tunamvutavuta eti rafiiki!!
 
Ktk thread zisizo na kichwa na miguu kwa mwaka huu ktk jukwa hili hii inashika nafasi za juu. Kwanza kitakwimu iko too shallow, pili, ina generalization ya kitoto halafu biased interpretation ya kufa mtu.

Unakuja na statistics za kwenye wikipedia ambazo hazijawa updated kwa muda mrefu halafu una conclude underperformance kwa nchi kigogo ya EA bila kujali vipaumbele, competitive advantage na mipango na mikakati ya nchi husika.

Hoja zinazoletwa kishabiki hazisaidii yeyote
 
hamjaupdate kwa sababu hamna cha kuupdate. eti nchi kigogo!!
 
Ile siku utafaulu kupata elimu halafu usome takwimu za biashara ya madini nchi yenu ndio utasaga meno, kwa sasa upo na uhuru wa kuendelea kuwa kilaza.

Nilipata elimu tena ya juu kabla wewe hujaacha kuchunga ng'ombe wa Moi
 
Back
Top Bottom