Uganda yajipanga kuwa power house y E.A. Tanzania yajikongoja

nimeweka vituo vya hydro na geothermal kwa sababu umeme wake huwa cheap. ni ngumu kuuza nje umeme unaozalishwa kwa mafuta. ukiangalia hayo majedwali utaona tuko nyuma sana. hatuna tofauti na DRC na si ajabu tunamvutavuta eti rafiiki!!

Mkuu ndani ya Eastern and Southern Africa hakuna Taifa lenye uwezo wa ku-generate ma GIGAWATT ya kuifikia DAM ya Inga huko DRC, ikikarabatiwa na kuhanza ku-generate umeme 2 full capacity itasaidia nchi nyingi including Uganda nk. Umeme unao tegemewa kuzalishwa huko Ethiopia hautaweza kuipiku INGA.
 
Vipi kuhusu mipango ya Tanzania kutumia nuclear power?
Tanzania ina deposits za kutosha za Uranium, last i checked.
 
Mkuu ndani ya Eastern and Southern Africa hakuna Taifa lenye uwezo wa ku-generate ma GIGAWATT ya kuifikia DAM ya Inga huko DRC, ikikarabatiwa na kuhanza ku-generate umeme 2 full capacity itasaidia nchi nyingi including Uganda nk. Umeme unao tegemewa kuzalishwa huko Ethiopia hautaweza kuipiku INGA.
hilo bwawa pekee linaweza zalisha hadi 40,000MW. wanaweza hadi kulipita 3 gorges dam. je wamefanya nini na rasilimali kubwa hivyo?
 
Mkuu, Serikali ya DRC imeingia mkataba na kampuni moja ya Africa Kusini kukarabati Inga DAM alafu baadae wai-run jointly, speaking of Chinese three Gorge Dam, Dunia nzima iliwapongeza Wachina kwa umahili wao katika nyanja za Civil Engineering, baadhi ya Nchi za Magharibi kama kawaida yao walikuwa wana beza beza ubora wa 3 Gorge DAM walifikiri flood za mwaka juzi zingeweza kubomoa DAM ya Wachina, walishangaa jinsi Dam hizo zilivyo weza ku-control floods kwa ufanisi wa kushangaza.

Siku hizi Wachina wako karibu sana na Serikali ya Kabila, walisha kubali kusaidia katika upanuzi wa INGA DAM ili lisaidie Africa kuwa na Umeme wa uhakika 24x7, mto Congo una potential kubwa kuliko NILE - Viongozi wa Africa wange pool resources zao katika upanuzi wa ujenzi wa a multiple DAMS ndani ya mto Congo at least Dams nne/tano kabla ya maji kuingia Bahari ya Atlantic wakifanikiwa kutekeleza hilo basi bara la Africa litaendelea sana kiviwanda nk.
 
kweli kabisa, mto kongo unaweza kupower SADC yote na umeme ukabaki. misri wanaumeme wa bei rahisi sana, bidhaa zao ni cheap sana na wanategemea sana Nile. sisi utafiti unaonyesha RUBADA tunaweza hadi kujenga mabwawa 21 wakina muhongo wanasema water budget na blah blah nyingi.
 
Total MW hapo hazifiki hata 2000 .... bado sana, tena sana. Yaani ni aibu tupu.
Kwa East Africa, Tanzania ndiyo ina potential kubwa especially kwa gas. Hakuna nchi itakayoiamata Tnzania in the near future kwenye EAC.
Tanzania is the future ... everybody knos that!!

well said kaka,proud of u
 
Back
Top Bottom