Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
nimeweka vituo vya hydro na geothermal kwa sababu umeme wake huwa cheap. ni ngumu kuuza nje umeme unaozalishwa kwa mafuta. ukiangalia hayo majedwali utaona tuko nyuma sana. hatuna tofauti na DRC na si ajabu tunamvutavuta eti rafiiki!!
Mkuu ndani ya Eastern and Southern Africa hakuna Taifa lenye uwezo wa ku-generate ma GIGAWATT ya kuifikia DAM ya Inga huko DRC, ikikarabatiwa na kuhanza ku-generate umeme 2 full capacity itasaidia nchi nyingi including Uganda nk. Umeme unao tegemewa kuzalishwa huko Ethiopia hautaweza kuipiku INGA.