nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Lets just agree that Tanzania is under-performing and move on
inaonekana tulikunywa pills za ujamaa ambazo ni long acting. waliokunywa short acting ones kama china na vietnam wameishaamka.
Siyo sisi tu, kuna mpango wa kuwaonyesha hata watoto wetu kuwa we are nothing, we are not smart and we should better cling vto our neighbors if we want to develop. We need our smart neighbours to survive and live a modern life.Red Giant, hebu Fanya summary. Uganda wanazalisha MW ngapi, Kenya ngapi na Tanzania ngapi.
Kuishia tu kuorodhesha vituo Vya kuzalisha umeme sio hoja, inaweza kuwa na vituo mia moja ukazalisha MW moja, na mwingine ana vituo vitano tu ambavyo vinaxalisha MW elfu moja.
Vv
Hata robo ya kinachotakiwa kubebwa bado hakijabebwa
nimeweka vituo vya hydro na geothermal kwa sababu umeme wake huwa cheap. ni ngumu kuuza nje umeme unaozalishwa kwa mafuta. ukiangalia hayo majedwali utaona tuko nyuma sana. hatuna tofauti na DRC na si ajabu tunamvutavuta eti rafiiki!!Red Giant, hebu Fanya summary. Uganda wanazalisha MW ngapi, Kenya ngapi na Tanzania ngapi.
Kuishia tu kuorodhesha vituo Vya kuzalisha umeme sio hoja, inaweza kuwa na vituo mia moja ukazalisha MW moja, na mwingine ana vituo vitano tu ambavyo vinaxalisha MW elfu moja.
Vv
hamjaupdate kwa sababu hamna cha kuupdate. eti nchi kigogo!!Ktk thread zisizo na kichwa na miguu kwa mwaka huu ktk jukwa hili hii inashika nafasi za juu. Kwanza kitakwimu iko too shallow, pili, ina generalization ya kitoto halafu biased interpretation ya kufa mtu.
Unakuja na statistics za kwenye wikipedia ambazo hazijawa updated kwa muda mrefu halafu una conclude underperformance kwa nchi kigogo ya EA bila kujali vipaumbele, competitive advantage na mipango na mikakati ya nchi husika.
Hoja zinazoletwa kishabiki hazisaidii yeyote
Ile siku utafaulu kupata elimu halafu usome takwimu za biashara ya madini nchi yenu ndio utasaga meno, kwa sasa upo na uhuru wa kuendelea kuwa kilaza.
Nilipata elimu tena ya juu kabla wewe hujaacha kuchunga ng'ombe wa Moi
inaonekana tulikunywa pills za ujamaa ambazo ni long acting. waliokunywa short acting ones kama china na vietnam wameishaamka.
Elimu ipi hiyo ambayo imewafanya muwe vilaza hadi leo na mnaadhirika kila uchao.