Makamu wa Kwanza wa Rais wa Uganda ambaye pia ni waziri wa EAC Bi. Rebecca Kadaga apinga wazo hilo kwani Tanzania tayari ni makao makuu ya taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Uganda ina Taasisi 3 za Jumuiya ya Afrika Mashariki zenye makao yake makuu Uganda. Jumuiya ya Afrika Mashariki ina taasisi ya Samaki la ziwa Victoria / The Lake Victoria Fisheries Organization LVFO lipo Jinja Uganda, Masuala ya Anga Uganda Entebbe CASSOA (The Civil Aviation Safety and Security Oversight Agency) na taasisi ya Elimu ya Juu ya Afrika Mashariki Inter-University Council of East Africa - IUCEA. Hivyo kuwa na taasisi tatu za Jumuiya ya Afrika Mashariki zenye makao yake nchini Uganda.
Huku Tanzania ni makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyopo Arusha, makao ya Bunge la Afrika Mashariki EALA lipo Tanzania, pia Korti ya Afrika Mashariki EACJ ina makao yake makuu Arusha huku Taasisi ya Kiswahili ya Afrika Mashariki ina makao makuu yake Zanzibar. Hivyo benki kuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiweka makao yake makuu Tanzania itakuwa taasidi nyingine ya Afrika Mashariki yenye makao yake nchini Tanzania.
BOFYA HAPA KUFAHAMU MAKAO YA TAASISI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI: Source : EAC Institutions
======
Uganda has rejected a report by the East African Community verification team awarding Tanzania the right to host the East African Community Central Bank. First Deputy Prime Minister and Minister for EAC Affairs Rebecca Kadaga has accused the team of fraudulently awarding the EAC Central Bank to Tanzania against Uganda.

Uganda protests award of EAC central bank to Tanzania