Uganda yasalimisha umiliki uwanja wa ndege Entebbe kwa Wachina

China ndio mkoloni mpya wa Afrika. Hatuchomoki niswala la muda kila nchi itaingia kwenye huu mtego. Ilianza Zambia, Djibouti, Uganda.... Kenya( Mombasa port) inanukia, Angola wako wanafanya warmup..
 
Hivi sisi kwenye bandari ya bagamoyo tunaweka bondi kitu gani?
Nchi nzima bond. Hivyo tegemea kumilikiwa na wachina😄😄😄. Watatutia sindano za sumu tufe na kuwa zombie Tu. Idd Amin aliwaza mbali Sana kuhusu hizo NGOZI.
 

mimi najua uwezo wako wa kufikiri toka miaka hiyo tunabishana kuhusu dini.

kwani mkuu,unadhani kungekuwa na mtu anakufa hata wachina wangekubali kusign hiyo mikataba!!!ili waue watu??
kama madhara ni mpaka watu wafe au wakimbie nchi yao,basi hakuna madhara 100%
 
Ukiona watu kama Zitto wanajiita wapinzani ila wamekazana kusifiana na kina Makamba jua hapo tumepigwa
 
Haya mchina alijenga port ya haifa israel na ameachia kuirun for 25 years, pamoja na US kupiga vita mchina asiendeshe hiyo bandari,,
Jamani tuwage tunaresearch kwanza vitu badala ya lawama tu, tunajichelewesha
[emoji116]
View attachment 2024441

unaanzaje kujilinganisha na waislaeli wewe mwenye vipaumbele elimu,maji na umeme 2021!!!!

wakati wenzako wanauza tech nchi kubwa na kuingiza mapato wewe unatafuta soko la corosho ma mapapai!!!unajua china na israeli wana biashara gani nyingine ambazo zinawaunganisha???

wewe ukiachana na biashara ya bandarina wachina,unawauzia meno ya tembo.
 
Israel ukubwa wake ni kama, mkuranga,, sasa unawezaje kushindwa kusupply umeme na maji kwa eneo hilo?.
Jpm aliwahi kusema barabara za lami zilizopo Tanzania, ukizihamishia Rwanda nchi yote itakua lami na watakosa pa kulima,,
Hata hao raia wa israel nchi ingekuwa kubwa kama Tanzania, wangekua bado na challenge ya maji na umeme kwa kipindi kifupi walichodumu tangu wapate uhuru..
 
Uwezo wangu mkubwa sana tangu 2012 tunabishana humu kuhusu vitu mbalimbali, dowand, Richmond, kagoda,, mwisho wa siku huwa niko right,
Mlisema lowasa kaiba hela dowans nikawaprove wrong,
Mkasema Rugemalila na mhindi wameiba pesa kwenye masalfeti huko bank nikawaprove wrong,
Mkasema kagoda zilikuwa hela za umma, Rostam kaiba toka bank kuu, nikawambia kagoda scandal hiyo ni case of loan going bad..
Kila arguments zangu huwa zinaprove right,, rejea posting history miaka 8 nyuma,
Infact am Genius [emoji23][emoji23]
 
Acha utoto wee
Utoto upi?,Uganda wao walikopa dola 200mil,Kwa dhamana ya uwanja wenyewe,Tanzania tunakwenda kuingia ubia na wachina na waarabu Kwa ubia maalum wa miaka 33.Mradi wa bagamoyo uanze Mara moja,pitieni mapungufu rekebisheni kazi ianze.
 
Dunia hi imejaa masikitiko makubwa

Kuna wakati unatamani kulia....
 
Kwanini wafanye renegotiation kama hapakuwa na Siri nyuma yake
 


dah
 
Sasa itaikwa Tanzania juu wakati serikal haipata chochote na wananchi sanasana watalipwa ujira duni kwa miaka 99

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa za covid pia azishawasaidia aaah me siamini Ug wameshindwa kulipa hyoo pesa watakuawa wanalao jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…