Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
vijembe tu.dawa gani zaidi ya kuwarudisha shule mliopata mimba njiani!!!
hapo dawa ni nani anapata!!!
kila dhama na kitabu chake mkuu;
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vijembe tu.dawa gani zaidi ya kuwarudisha shule mliopata mimba njiani!!!
hapo dawa ni nani anapata!!!
Lazima kuna explanation , mfano issue ya srilanka , kumbe serikali ya sri lanka ndio ilukodisha ile bandari ili wapate fedha kufanyia issue zingine wakapokea hela in lumpsum in exchange wakawachia china wasimamie hiyo bandari kwa kipindi fulani hadi wajilipe pesa yao ni pure businessmimi sijui,ila sijui pia kwanini wameachia asset nyeti kama uwanja wao wa ndege.
Je wajua kuwa israel imeachia bandari yake ya Haifa iendeshwe na mchina?mimi sijui,ila sijui pia kwanini wameachia asset nyeti kama uwanja wao wa ndege.
Rais wa hii nchi ana mamlaka ya kutaifisha kitu chochote kileWasipopata faidi ndani ya kipindi husika mtalazimka kuwa fidia investment cost zao au kama vip muongezea tena miaka 40. yaani mtu huna control naye anafsnya anavyotaka bila kumwingilia hakuna hata siku moja atasema amepata faida
Je wajua kuwa israel imeachia bandari yake ya Haifa iendeshwe na mchina?
Waweke makalio yao hao wanao utaka ila sisi hatuutaki tubaki na bandari yetu tu ya darHivi sisi kwenye bandari ya bagamoyo tunaweka bondi kitu gani?
Lazima kuna explanation , mfano issue ya srilanka , kumbe serikali ya sri lanka ndio ilukodisha ile bandari ili wapate fedha kufanyia issue zingine wakapokea hela in lumpsum in exchange wakawachia china wasimamie hiyo bandari kwa kipindi fulani hadi wajilipe pesa yao ni pure business
Mipango ya kibiashara,, mfano wewe ujenge gest, halafu uone mambo hayaendi unakodisha kwa mda fulani unaluowa hela yako kufanyia issue zingine, ama unakodi management ya kurun hiyo gest,kwa sababu ya mkopo??
Uzuri Mama ni muelewa sana na anasikiliza ushauri wa wataalam hii bandari inahitajika haraka sana awamu ya 5 ilifanya makosa makubwa sana badala ya kurenegotiate masharti wakaleta siasa Mama yetu ataharakisha hii mega project itakayo tuweka TZ juu sana
Mipango ya kibiashara,, mfano wewe ujenge gest, halafu uone mambo hayaendi unakodisha kwa mda fulani unaluowa hela yako kufanyia issue zingine, ama unakodi management ya kurun hiyo gest,
Pure business
Haya Tangu usikie zimbabwe sijui zambia wameshikiwa bandari zao. Which is pure propaganda,, wazambia na wazimbabwe wangapi wamekufa?, Chumi za hizo nchi vipi zimekufa? Wazambia wanakufa njaa na wanakimbia nchi yao, inshort kitu gani negative kimetokea?sasa yupi kati ya tz,uganda,zimbabwe,ama sri lanka alifanya hayo ya israel??
fursa za uchumi hizo wahi kiwanja bagamoyoTunauhitaji mradi wa Bagamoyo kweli kweli maana hatukopi Kwa mradi huu Bali ni aina ya ubia mahususi,wenye muda maalumu.
Haya mchina alijenga port ya haifa israel na ameachia kuirun for 25 years, pamoja na US kupiga vita mchina asiendeshe hiyo bandari,,sasa yupi kati ya tz,uganda,zimbabwe,ama sri lanka alifanya hayo ya israel??
Aisee!!🤔🤔Mlima Kilimanjaro
Chinaa Tanzaniaa same same. Dodomaa Beijingg!Afu ana tokea boya mmoja na likitambi lake ana sema wachina ni rafiki/ndugu zetuView attachment 2023882
Wachina wanajenga infrastructure ya silk road duniani ile kurahisisha uuzaji wa bidhaa zao lengo ni pure business,, wala hawana haja ya kuwawekea masharti ya kisiasa kama nchi za magharibi wafanyavyo
Lengo lao ni pure business that is why huoni kelele za kupinga ujenzi wa bandari kama hiyo kwenye nchi ambazo raia wao wako educated kama kenya,,
Nchi za magharibi wanajua china wakimaliza kuweka miundo mbinu yao,, US as a super power ndo itakua bye bye. That is why kuna propaganda chafu sana kuhusu miundombinu ya china,
US wako tayari kufund watu ili waendeshe kampeni za kupinga uwekezaji wa china ama Russia duniani, na wanatumia hadi uongo mwingi sana,
Jaribu kuresearch suala la ile bandari ya sri lanka ili ujue uongo tuliodanganywa kabla haijasanuka,,
Hata bandari ya bagamoyo inapigwa vita sana, na kuna watu wakamfanya JPM aamini eti serikali itakopa dola bilioni 10 kujenga bandari ya bagamoyo kitu ambacho ulikua ni propaganda chafu
Inasikitisha sana AiseeeeBandari ya Bagamoyo hiyoooo
Haya mchina alijenga port ya haifa israel na ameachia kuirun for 25 years, pamoja na US kupiga vita mchina asiendeshe hiyo bandari,,
Jamani tuwage tunaresearch kwanza vitu badala ya lawama tu, tunajichelewesha
[emoji116]
View attachment 2024441