Uganda yenye wagonjwa 33 yatangaza " lockdown" kwa siku 14, Kenya yenye wagonjwa 50 bado viongozi hawajui la kufanya

Huwezi shinda vita kama huna mbinu, acha kupotosha Watanzania wenzako. That is disaster in waiting
 
total lock down, hivi mnaisikia au mnaijua nyie! Sisi tujitahidi kufuata maelekezo ya serikali yetu pendwa maana kimbembe cha kufungiana ndani ww kisikie kwa wengine tu! Kuna watu ili wale jioni inabidi wafanye kazi kutwa nzima! Na kwa bahati mbaya ndio wengi! Sasa ukiwalazimisha wajifungie ndani utawapelekea na msosi ww?
Hebu acheni kurukia treni yenye mwendo kasi kwa mbele ninyi mnaleta ujulo nini?
 
Huyu Mwenzenu anawashwa sana na masuala ya Kenya. Hapati usingizi
 

Talking of scientific research how many patents does Tanzania have in the field of Medicine? ....or in any field.
 
Unataka Lockdown ? Kajifungie wewe na mkeo nyumbani kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi shinda vita kama huna mbinu, acha kupotosha Watanzania wenzako. That is disaster in waiting
Hapo sasa umegusa penyewe, tofauti iliyopo kati ya Kenya na Tanzania ni kwamba, Tanzania imejiimarisha zaidi katika mbinu na usimamizi wa kiuongozi, wakati Kenya mumetoa kipaumbe katika upimaji na utangazaji matokeo.

Tanzania mara tu baada ya hili tatizo kuingia Afrika, Magufuli aliunda tume ya mawaziri yenye kuongozwa na waziri mkuu, katibu wake ni waziri wa Afya, wajumbe ni waziri wa ulinzi, waziri wa ujenzi na usafirishaji, waziri wa mambo ya ndani na uhamiaji, waziri wa chakula na kilimo, waziri wa Elimu, sayansi na teknolojia, wizara hizi zinakutana kila baada ya wiki mbili kupiana ripoti na kupanga mikakati upya.

Tume ya makatibu wakuu kutoka wizara zote hapo juu, tume hii inaongozwa na katibu mkuu kiongozi, kazi kuu ya tume hii ni kushirikisha wataalamu mbalimbali toka katika wizara zao ili kwa pamoja kuja na mbinu mbalimbali za kupambana na Corona, kisha kupeleka mapendekezo yao katika tume ya mawaziri.

Tume inayohusika na kusimamia utekelezaji wa maamuzi katika ngazi ya jamii, hii inahusika zaidi na kuhakikisha kwamba kila pembe ya Tanzania kuna watendaji wenyekufuatilia mapambano ya virusi vya ukimwi, wamepewa majukumu na makengo maalumu ambapo huripoti kila wiki juu ya hali ilivyo katika maeneo yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joto, you are too old to reason like this. Do you think that having these commissions will do everything related to prevention and treatment of corona virus? It's useless to have a commission if you only have one laboratory serving 60 million Tanzanians. It's useless to have these commissions if your disaster preparedness is still wanting. It's useless to have these commissions if you only have 50 ICU beds to cater for corona patients. It's useless to have these commissions if your country still lacks basic things like protective gears, testing kits and ventilators. It's useless, it's useless, it's useless.

You cannot fight a virus of this magnitude by forming commissions whose work will have little direct impact on the issue at hand. The trick is to do as many tests as possible and restrict movements of people. The commissions you are talking about can only offer advice and guidelines, but will not buy testing kits, protective gears, provide more beds in case numbers upsurge and buy/manufacture ventilators. No, they will not! This is the work of your government, not a commission!
 
Msikate tamaa, Uhuru Kenyatta ameanza kuiga Tanzania, kwa kuunda tume na kutengeneza mfumo mzuri wa kusimamia hii vita, muda sio mrefu mtaanza kuona matunda yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wewe kama hujui kenye kina happen nilikuambia usiwe una disinform watu.
ati Kenya copying Tanzanian
The first Corona virus taskforce was formed on Feb 28 which reports directly to the president .Since that day we get daily briefings from Harambee house where the office of the president is located.
The taskforce you are referring too that was formed Yesterday is the Covid-19 Emergency Response fund taskforce.For coordinating issues to do with funding.It comprises of major actors in the economy.
 
I
In the same Spirit we can comfortably say that Burundi has the most advanced health system in EastAfrica 😂😂
Tanzania 19
Burundi. 0
Mataifa yenye maambukizi sifuri au kidogo inamaanisha nchi hiyo au watu wake hawachangamani na mataifa mengi (they are too exposed)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…