Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
Endeleeni kuomba. Even Jesus diedIt doesn't matter which way you use so long as it takes you to your destination
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kuomba. Even Jesus diedIt doesn't matter which way you use so long as it takes you to your destination
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahau kila kitu na tulinganishe Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda na EthiopiaMazingira yanayofanana yet you are mentioning Botswana and Spain! Listen to yourself
Msikate tamaa, Uhuru Kenyatta ameanza kuiga Tanzania, kwa kuunda tume na kutengeneza mfumo mzuri wa kusimamia hii vita, muda sio mrefu mtaanza kuona matunda yake.Endeleeni kuomba. Even Jesus died
Mbona nisahau na ni wewe mwenyewe ulisema?Sahau kila kitu na tulinganishe Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda na Ethiopia
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi shinda vita kama huna mbinu, acha kupotosha Watanzania wenzako. That is disaster in waitingKatika vita, kitu muhimu ni kushinda vita, sisi kipaumbele chetu ni kushinda hii vita, sio kutangaza mbinu tunazotumia, so far so good, our strategies work, if you want to come and learn, then you are very much welcome.
Lakini kwa kuwaibia kidogo, mnakumbuka yale mapendekezo aliyotoa David Ndii kwa Uhuru Kenyatta jinsi ya kupambana na Corona, hivyo ndivyo tulivyofanya, ninauhakika Ndii alifuatilia Tanzania tulivyofanya, ndio akamshauri Uhuru Kenyatta
Tz. 19
Ke. 50
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania with one laboratory ni nchi ya kuigwa?! Acha sarakasiMsikate tamaa, Uhuru Kenyatta ameanza kuiga Tanzania, kwa kuunda tume na kutengeneza mfumo mzuri wa kusimamia hii vita, muda sio mrefu mtaanza kuona matunda yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
total lock down, hivi mnaisikia au mnaijua nyie! Sisi tujitahidi kufuata maelekezo ya serikali yetu pendwa maana kimbembe cha kufungiana ndani ww kisikie kwa wengine tu! Kuna watu ili wale jioni inabidi wafanye kazi kutwa nzima! Na kwa bahati mbaya ndio wengi! Sasa ukiwalazimisha wajifungie ndani utawapelekea na msosi ww?Uganda Under Total Lockdown
President Yoweri Kaguta Museveni, while addressing the Coronavirus status on Monday night, ordered for a total lockdown in Uganda for the next 14days.
Museveni ordered for complete shutdown of operations by private cars, Tuk-tuk and boda bodas, saying that the directive was informed by indiscipline of Ugandans who didn't fully follow the guidelines laid out to stop the spread of Coronavirus.
Museveni said that the earlier ban on public transport had lead to private vehicle owners carrying passengers while pretending to be relatives and overcharging them for their own benefit. The ban on private vehicles should to start from Monday 10pm.
As from March 31, Museveni said there would be a curfew starting from 7pm, with the exeption of cargo vehicles, but clearly stated that that did not apply to boda bodas, bicycles and tricycles.
Museveni said that although food stores are to continue with their operations, they are required to meet some health requirements. He ordered that garages, saloons, lodges and other non-food shops to close immediately for a period of 14 days.
This comes after Rwanda and South Africa effected total lockdown, with other African countries weigh on whether or not to take that route. As at Monday night, the number of confirmed cases of Coronavirus stood at 33.
======
Katika kipindi kigumu ndio unaweza kupima umadhubuti na uimara wa viongozi.
Kuchukua maamuzi mazito na magumu kwa wakati husika ni sifa kuu ya uongozi bora.
Katika kuzuia maambukizi ya magonjwa ya mllipoka jambo muhimu linalotumika kufikiria ni wakati gani kuamua kuchukua hatua.
Rais Museveni ametangaza kuanza kwa amri ya watu kutotoka nje baada ya watu wenye virusi vya Corona kufikia 33, hii inaifanya Uganda kuwa nchi ya pili katika Afrika mashariki baada ya Rwanda ambayo ilitanga amri hiyo idadi ya wagonjwa ilipofikia 40.
Jambo la kushangaza na kusikitisha ni kwamba, Kenya pamoja na kufikia idadi ya wagonjwa 50 hadi sasa, hakuna hatua zozote za maana ilizochukua ili kukabiliana na ongezeko la maambukizi zaidi ya kutangaza kila siku kwamba idadi inaongezeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mwenzenu anawashwa sana na masuala ya Kenya. Hapati usingizitotal lock down, hive mnaisia au mnaijua nyie! Sisi tujitahidi kufuata maelekezo ya serikali yetu pendwa maana kimbembe cha kufungiana ndani ww kisikie kwa wengine tu! Kuna watu ili wale jioni inabidi wafanye kazi kutwa nzima! Na kwa bahati mbaya ndio wengi! Sasa ukiwalazimisha wajifungie ndani utawapelekea na msosi ww?
Hebu acheni kurukia treni yenye mwendo kasi kwa mbele ninyi mnaleta ujulo nini?
Hamna akili ndio sababu Corona inawamaliza, tunalinganisha nchi zenye mazingira yanayofanana, Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda, zinamazingira yanayofanana, lazima tuzilinganishe. Hivi hamjawahi kufanya any scientific research?, kunakitu kinaitwa "cohor group".
Sent using Jamii Forums mobile app
Uganda Under Total Lockdown
President Yoweri Kaguta Museveni, while addressing the Coronavirus status on Monday night, ordered for a total lockdown in Uganda for the next 14days.
Museveni ordered for complete shutdown of operations by private cars, Tuk-tuk and boda bodas, saying that the directive was informed by indiscipline of Ugandans who didn't fully follow the guidelines laid out to stop the spread of Coronavirus.
Museveni said that the earlier ban on public transport had lead to private vehicle owners carrying passengers while pretending to be relatives and overcharging them for their own benefit. The ban on private vehicles should to start from Monday 10pm.
As from March 31, Museveni said there would be a curfew starting from 7pm, with the exeption of cargo vehicles, but clearly stated that that did not apply to boda bodas, bicycles and tricycles.
Museveni said that although food stores are to continue with their operations, they are required to meet some health requirements. He ordered that garages, saloons, lodges and other non-food shops to close immediately for a period of 14 days.
This comes after Rwanda and South Africa effected total lockdown, with other African countries weigh on whether or not to take that route. As at Monday night, the number of confirmed cases of Coronavirus stood at 33.
======
Katika kipindi kigumu ndio unaweza kupima umadhubuti na uimara wa viongozi.
Kuchukua maamuzi mazito na magumu kwa wakati husika ni sifa kuu ya uongozi bora.
Katika kuzuia maambukizi ya magonjwa ya mllipoka jambo muhimu linalotumika kufikiria ni wakati gani kuamua kuchukua hatua.
Rais Museveni ametangaza kuanza kwa amri ya watu kutotoka nje baada ya watu wenye virusi vya Corona kufikia 33, hii inaifanya Uganda kuwa nchi ya pili katika Afrika mashariki baada ya Rwanda ambayo ilitanga amri hiyo idadi ya wagonjwa ilipofikia 40.
Jambo la kushangaza na kusikitisha ni kwamba, Kenya pamoja na kufikia idadi ya wagonjwa 50 hadi sasa, hakuna hatua zozote za maana ilizochukua ili kukabiliana na ongezeko la maambukizi zaidi ya kutangaza kila siku kwamba idadi inaongezeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wazae vilaza kama yeye 😂
Hapo sasa umegusa penyewe, tofauti iliyopo kati ya Kenya na Tanzania ni kwamba, Tanzania imejiimarisha zaidi katika mbinu na usimamizi wa kiuongozi, wakati Kenya mumetoa kipaumbe katika upimaji na utangazaji matokeo.Huwezi shinda vita kama huna mbinu, acha kupotosha Watanzania wenzako. That is disaster in waiting
50 vs 19[emoji23][emoji23][emoji23]Na wazae vilaza kama yeye [emoji23]
Na wazae vilaza kama yeye [emoji23]
Joto, you are too old to reason like this. Do you think that having these commissions will do everything related to prevention and treatment of corona virus? It's useless to have a commission if you only have one laboratory serving 60 million Tanzanians. It's useless to have these commissions if your disaster preparedness is still wanting. It's useless to have these commissions if you only have 50 ICU beds to cater for corona patients. It's useless to have these commissions if your country still lacks basic things like protective gears, testing kits and ventilators. It's useless, it's useless, it's useless.Hapo sasa umegusa penyewe, tofauti iliyopo kati ya Kenya na Tanzania ni kwamba, Tanzania imejiimarisha zaidi katika mbinu na usimamizi wa kiuongozi, wakati Kenya mumetoa kipaumbe katika upimaji na utangazaji matokeo.
Tanzania mara tu baada ya hili tatizo kuingia Afrika, Magufuli aliunda tume ya mawaziri yenye kuongozwa na waziri mkuu, katibu wake ni waziri wa Afya, wajumbe ni waziri wa ulinzi, waziri wa ujenzi na usafirishaji, waziri wa mambo ya ndani na uhamiaji, waziri wa chakula na kilimo, waziri wa Elimu, sayansi na teknolojia, wizara hizi zinakutana kila baada ya wiki mbili kupiana ripoti na kupanga mikakati upya.
Tume ya makatibu wakuu kutoka wizara zote hapo juu, tume hii inaongozwa na katibu mkuu kiongozi, kazi kuu ya tume hii ni kushirikisha wataalamu mbalimbali toka katika wizara zao ili kwa pamoja kuja na mbinu mbalimbali za kupambana na Corona, kisha kupeleka mapendekezo yao katika tume ya mawaziri.
Tume inayohusika na kusimamia utekelezaji wa maamuzi katika ngazi ya jamii, hii inahusika zaidi na kuhakikisha kwamba kila pembe ya Tanzania kuna watendaji wenyekufuatilia mapambano ya virusi vya ukimwi, wamepewa majukumu na makengo maalumu ambapo huripoti kila wiki juu ya hali ilivyo katika maeneo yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Even USA is bailing out her citizens during the current lockdownSure huwezi kutufungia ndani kwa mafua halafu kila kitu tujihudumie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wewe kama hujui kenye kina happen nilikuambia usiwe una disinform watu.Msikate tamaa, Uhuru Kenyatta ameanza kuiga Tanzania, kwa kuunda tume na kutengeneza mfumo mzuri wa kusimamia hii vita, muda sio mrefu mtaanza kuona matunda yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mataifa yenye maambukizi sifuri au kidogo inamaanisha nchi hiyo au watu wake hawachangamani na mataifa mengi (they are too exposed)I
In the same Spirit we can comfortably say that Burundi has the most advanced health system in EastAfrica 😂😂
Tanzania 19
Burundi. 0