Uganda yenye wagonjwa 33 yatangaza " lockdown" kwa siku 14, Kenya yenye wagonjwa 50 bado viongozi hawajui la kufanya

239 tested over the last 24hrs,
9 wako na corona,
Total number 59.

ATLEAST now tunakaribia kupima almost 300 a day...
Wenzetu nao wako kwenye maombi na kufunga πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Huyu ako katika maombi maalum achana naye. Yeye aliona taskfirce hajui hata iliundwa kwa ajili gani. Anasumbuka sana huyu jamaa
 
Wenzetu nao wako kwenye maombi na kufunga πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Alafu utaskia jamaa akiongea kuhusu Taskforce.Wakati huku tuliform multiagency taskforce ya Kwanza on Feb 28 long before Corona ifike.
 
Kama nilivyokuambia, ninyi mpo nyuma sana katika mapambano ya Corons ndio sababu tunawashinda katika kuzuia masmbukizi..

Ukiangalia hao mawaziri waliochaguliwa, kila wizara ina majukumua yake, wizara ya mambo ya ndani inahusika na ulinzi wa wageni wote wanaoingia nchini, ikishirikiana na wizara ya Afya, timeweza kuwadhibiti wageni wanaoingia nchini bila kuleta madhara zaidi, wakati Tanzania inatoa kupaumbele katika kuhakikisha kila mtu anayeingia nchini abadhibitiwa kabla ya kukutana na watu, ninyi mumepuuza katika kuwadhibiti badala yake mnawekeza nguvu nyingi katika upimaji, mfano mzuri ni yule Depute Governor wa Kilifi.

Kumbuka kwamba mfumo wetu wa huduma za Afya ndio mfumo bora kuliko yote katika ukanda huu, tuna hospitali nyingi na vituo vya Afya hadi vijijini.

Kwa kifupi tu, Tanzania tumewekeza zaidi katika kuzuia maambukizi kuingia nchini, kwa kutumia hizo kamati zenye kusimamia maeneo yote, matunda yake yanaonekana, bado infection zote ni imported so far, ninyi munewekeza zaidi katika kupima na kutangaza matokeo, matokeo mnayaona tayari mumeshapata " local infection".

Ninyi endeleeni na mbinu mnayotumia na sisi tuendelee na mbinu tunayotumia, tuone nani atakayefanikiwa kupambana na Corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekubali kwamba mko na "mfumo bora" sana wa Afya kutuliko. Kwa vile mko na mfumo bora, naomba uniambia mko na mahabara ngapi yaliyo na uwezo wa kupima virusi vya corona na kutoa matokeo sahihi. Pili, mko na vitanda ngapi za ICU na HDU kwa ajili ya wagonjwa wa Corona? Tatu, mko na plan gani ya kuhakikisha kwamba hamtapata upungufu wa vifaa vya kupima corona na protective gears za madaktari? Naomba unijibi tu hayo kwa sasa, mengine baadae
 
Do you still believe Kenya is on the right direction than Tanzania?
Ke. 59
Tz. 19

Sent using Jamii Forums mobile app
Because we are doing tests ila nyinyi mnaomba. In the last 24hrs alone, we've tested close to 300 people and found 9 to be positive. If we didn't do the tests hatungejuwa kwamba hao tisa ni wagonjwa na wangeendelea kuambukiza wengine hata zaidi. The government already projected that we might have 10,000 positive cases by the end of April. Does your government even have such simple things as projections to enable it plan ahead? Definitely not. All it says is that you should keep praying! Pray Joto pray!
 
We aren't in a competition with anyone.
You are the one obsessed with Kenya.Ata watanzania wenzako the wanakushangaa.
This baboon is making it look like a competion just because we are doing something they aren't able to do
 
Covid-19 exposes crisis in Kenya's ICUs
Kenya 59
Tanzania 19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This baboon is making it look like a competion just because we are doing something they aren't able to do
We are far head of you in health provision, that's why under the same environment and situation.
Kenya 59
Tz. 19
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We are far head of you in health provision, that's why under the same environment and situation.
Kenya 59
Tz. 19
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
How do you expect to test more people with one laboratory for your numbers to rise? Keep singing and dancing to sisiemu tunes. Sisiemu hoyee πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Aren't their aircraft flying to South Sudan from other countries? What about Burundi? As I incorporate my brain, try to engage yours as well

The fact is, Burundi and South Sudan get no massive influx of foreign visitors.
 
The fact is, Burundi and South Sudan get no massive influx of foreign visitors.
That doesn't mean that it is immune. It takes only one visitor to spread the virus. Think along that line
 
Corona kwenu inaambukizwa usiku ikifika saa 11 asubuhi mnajazana barabarani maana muda huo kunakuwa hakuna corona eti mpaka jioni nchi ya watu wanao-jipambanua kama wasomi mnaletewa maamuzi ya kijinga na kipumbavu kama hivi

Halafu na nyie mnaangalia tu duh! kwamba corona kwenu ipo usiku tu duh! mchana inahama na kuludi jioni.
 
Corona kwenu inaambukizwa usiku ikifika saa 11 asubuhi mnajazana barabarani maana muda huo kunakuwa hakuna corona eti mpaka jioni nchi ya watu wanajipambanua kama wasomi mnaletewa maamuzi ya kijinga na kipumbavu na nyie mnaangalia tu.
Hao ni wafuata upepo tu ngoja nimwiite MK254 njoo ujibu hoja mkuu!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…