Uganda yenye wagonjwa 33 yatangaza " lockdown" kwa siku 14, Kenya yenye wagonjwa 50 bado viongozi hawajui la kufanya

Kila nchi na mbinu zake, nyie mliambiwa muombe, muendelee kufanya vya hovyoo kama kubanana kwenye madaladala na kutochukua tahadhari yoyote kisa mnaomba, ila sisi tuliambiwa tuombe na pia tutumie hekima tuliyopewa na Mungu maana hata kule ambako hizi dini zilitoka wanateswa sana na hiki kirusi.
To know how strict Kenya is with its health system here are requirements for a level 6B hospital in kenya. In fact even Kenyatta National hospital has not attained a lot of the criteria herein and it is the largest referral hospital in the region. The highest level for a hospital in kenya is level 6C, no private or government hospital has attained level 6C or level 6B, yet we have the best and biggest hospitals in the region.

Moi teaching and referral hospital in eldoret is currently building on 200 acres in Kiplombe, what will become Africa's largest hospital (4,000 beds with about 600 ICU beds) dwarfing South Africa's Chris Hani Baragwanath Hospital (3,400 beds)
 
Attachments

The best Hospital in the region is Mloganzila in Tanzania, stop your nonsense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
To know how strict Kenya is with its health system here are requirements for a level 6B hospital in kenya. In fact even Kenyatta National hospital has not attained a lot of the criteria herein and it is the largest referral hospital in the region. The highest level for a hospital in kenya is level 6C, no private or government hospital has attained level 6C or level 6B, yet we have the best and biggest hospitals in the region.

Moi teaching and referral hospital in eldoret is currently building on 200 acres in Kiplombe, what will become Africa's largest hospital (4,000 beds with about 600 ICU beds) dwarfing South Africa's Chris Hani Baragwanath Hospital (3,400 beds)
In Tanzania we can perform very sophisticated operations like
1) Cochlear implant
2)Liver transplant
3)Bone marrow transplant
In our Public Hospitals, tell us which Public Hospital in Kenya can perform any of the above?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In Tanzania we can perform very sophisticated operations like
1) Cochlear implant
2)Liver transplant
3)Bone marrow transplant
In our Public Hospitals, tell us which Public Hospital in Kenya can perform any of the above?

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe na waimba pambio wenzako, mtajificha wapi??
IMG_20200401_101610.jpg

wanalumumba wa buku saba mnamatatizo ya akili.

***huyu ni kiongozi wa upinzani na hapati huduma, sembuse kajamba kama wewe??
 
Mtoto wa.mbowe siku kumi hajapata hata kupimwa mkojo, nyinyi ni kijiji cha wavuvi. isolation ward ni vitanda tu hakuna chochote kingine, kwani gesti??
Unajua maana na kazi ya "Isolation unit"?, huko mgonjwa anakaa mbali na watu huko sio sehemu ya matibabu, huko anatengwa na kufuatiliwa kama atapata complication yoyote, akiwa na complication yoyote anahamishiwa ICU.

Kumbuka hiyo Isolation unit hapo Hospitalini, ipo nje kabisa ya mji, sasa huyo Mboye amekua Daktari?. Nani aliyesema mgonjwa wa Corona lazima afanyiwe "Chest X-ray.

Mbowe ni mjinga na muuaji, yeye alihisi kwamba mtoto wake ana dalili zote za Corona, lakini hakuchukua hatua zozote aliendelea kwenda Dodoma na kuhudhuria mikutano ya Bunge, ni kama alivyofanya yule Deputy Govonor wa Kilifi, hadi Makonda alipomlipua hadharani kwamba mtoto wake amekutwa na maambukizi ndipo akatoka katika Ukumbi wa bunge huko Dodoma na kuenda kujifungia, hovyo sana huyu jamaa, anapaswa kushitakiwa akimaliza kipindi chake cha karantini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hujaandika mbinu ile ya kupiga raia yenyewe ilishindikana?
Sisi Watz huwa hatuigi Mungu tu sisi anatuona.
Mnawasha washwa sana na hii nchi ya Kenya. Wakati kwenye nchi yenu hamna cha maana mlichofanikisha, isipokuwa usanii wa rais wenu kupigwa picha akiota jua juu ya miamba na kunywa kahawa. Yaani mnaowasema kwamba wamechanganyikiwa waziri wao anatoa updates kila jioni. Rais U.K. amepunguza ushuru kwenye sekta mbali mbali, watumishi wa umma kwenye gazi za juu wamepunguziwa mishahara kwa 80%. Magari ya usafiri wa umma yanabebea abiri kwa 70% ya uwezo wao. Dawa zinapulizwa kote mijini, sabuni na sanitizer za kugawa bure kwa wananchi zinaendelea kutengenezwa kwa wingi viwandani. Shughuli ya kupima kwa mkupuo ilianza jana na watu 2,050 wakapimwa, mask wataanza kuzisambaza bure. Nguo maalum za kujikinga zimeanza kutengenezewa hapa hapa Kenya. Serikali nayo imeanza kuongeza stock kwenye reserves za vyakula. Sehemu za karantini zipo kwenye kila gatuzi, kits za kupima ni 20,000 kufikia sasa. Kwa taarifa yako agizo limepeanwa jana la kuzuia usafiri kutoka kwa gatuzi moja hadi lingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe na waimba pambio wenzako, mtajificha wapi??
View attachment 1405666
wanalumumba wa buku saba mnamatatizo ya akili.

***huyu ni kiongozi wa upinzani na hapati huduma, sembuse kajamba kama wewe??

Jameni haya ni majanga, duh halaafu jamaa walivyo wabishi pamoja na mapungufu yote haya.
 
Unajua maana na kazi ya "Isolation unit"?, huko mgonjwa anakaa mbali na watu huko sio sehemu ya matibabu, huko anatengwa na kufuatiliwa kama atapata complication yoyote, akiwa na complication yoyote anahamishiwa ICU.

Kumbuka hiyo Isolation unit hapo Hospitalini, ipo nje kabisa ya mji, sasa huyo Mboye amekua Daktari?. Nani aliyesema mgonjwa wa Corona lazima afanyiwe "Chest X-ray.

Mbowe ni mjinga na muuaji, yeye alihisi kwamba mtoto wake ana dalili zote za Corona, lakini hakuchukua hatua zozote aliendelea kwenda Dodoma na kuhudhuria mikutano ya Bunge, ni kama alivyofanya yule Deputy Govonor wa Kilifi, hadi Makonda alipomlipua hadharani kwamba mtoto wake amekutwa na maambukizi ndipo akatoka katika Ukumbi wa bunge huko Dodoma na kuenda kujifungia, hovyo sana huyu jamaa, anapaswa kushitakiwa akimaliza kipindi chake cha karantini

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe kweli ni kilaza, so kila aliyemgonjwa corona anawekwa ICU?? mbona basi mwanawe mbowe hajawekwa huko amesalia isolation??
mapungufu ya tanzagiza ni wazi kwa kila anayetizama. Mbowe mbali na kuwa kiongozi ameona hali ilivyo na itazidi kuwa mbaya kwa mwananchi wa kawaida.
 
Jameni haya ni majanga, duh halaafu jamaa walivyo wabishi pamoja na mapungufu yote haya.
Wabishi ni ninyi msiotaka kukubali kwamba mbinu mnayoitumia haifanyi kazi kwahiyo mnapaswa kubadili mbinu lakini bado mnaendeleza ubishi kwamba mpo sahihi na kuona wengine ndio wanakosea.

Sisi tunawaangalia tuona mtafika wapi kwa kutumia hiyo mbinu yenu ya "kupima na kutangaza strategy". Tupo hapa tunasubiri kusikia idadi mpya ya wagonjwa leo, lazima namba itaongezeka Leo, kwasababu zaidi ya kupima na kutangaza matokeo, hakuna hatua yoyote ya maana mnayochukua kupunguza maambukizi mapya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe kweli ni kilaza, so kila aliyemgonjwa corona anawekwa ICU?? mbona basi mwanawe mbowe hajawekwa huko amesalia isolation??
mapungufu ya tanzagiza ni wazi kwa kila anayetizama. Mbowe mbali na kuwa kiongozi ameona hali ilivyo na itazidi kuwa mbaya kwa mwananchi wa kawaida.
Nimekuambia wenye kugundulika na maambukizi hawapekekwi Hospitalini badala yake wanawekwa katika sehemu "Isolation unit", hapo sio Hospitalini ni sehemu tu ya kuwatenga na kuwafuatilia, hapapaswi kuwa na hizo mobile X-ray anazodai Mbowe.

Lengo la iIsolation unit ni kuwatenga wenye Corona virus na kuwafuatilia hali zao, yule atakayeonyesha dalili za kushindwa kupumua na complications zingine ndioa anahamishiwa ICU.

Wagonjwa wetu wote wa Tanzania wanaendelea vizuri sana ukiacha yule aliyekufa ambaye alifia ICU, sasa huyu Mbowe anayetaka Isolation unit kupelekwe mobile X-ray anatumia muongozo upi?

Kenya lazima mjifunze kwa watu wanaofanikiwa kupambana na hivi virusi, mkiendelea na ubishi wenu mtakwisha, Corona sio utani, tayari imeshawazidi nguvu, nafuu sisi bado tunapambana na kuna matumaini tutapunguza kasi ya maambukizi kwa kiwango kikubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom