Umeona anachokifanya Kagame?. Kenya ikiamua kutoa amri kwa miji hiyo mitatu yenye wagonjwa wengi, yaani Nairobi, Mombasa na Kilifi, kwakutumia hiyo nusu ya National reserve yao, yaani $4B, wanaweza kuwahudumia watu wote wanaoishi katika miji hiyo kwa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu kwa mwezi mmoja bila hata kumaliza $1B.
kumbuka, watapewa mahitaji ya kawaida sana, Unga wa sembe, Maharage, Mafuta. Chumvi na huduma za maji na matibabu, atakayetaka zaidi ya hapo atajinunulia mwenyewe, Rwanda wanaweza, vipi Kenya washindwe?, hawa ni failed state aisee.
Sent using
Jamii Forums mobile app