Boss 70% is Kenyan cargo....hao 14 traders mmefungulia uzi are not even 0.0000001%. Stop majoring on the minorHahahaha, where will you get foreign currencies, na hiyo Lamu port pia mtatumia wenyewe?, kwahiyo hilo deni la SGR litalipwa kutokana na mzigo wa Mombasa - Nairobi pekee?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezi tangazwa kwa His Highness mtu asije akawekwa ndani Kama wale walionyesha barabara mbovu Tz.Haijatangazwa hiyo...mengine ni matatizo ya kiufundi.
Halafu wacha kubeat around the bush!! Mbona unakimbia mada hivyo!!!
Ati No slums. Tafuta mtu mwingine wa kudanganyaNani aliyejisifu Wakati tunajadili hii ripoti ya hawa waganda?, endeleeni kujijaza ujinga Wakati sisi tunasonga mbele
1)Lowest unemployment rate
3)Best heath care system
3)74% rural electricity connectivity, the first in Subsahara Africa followed by Nigeria
4)Highest percentage of water distribution
5) Enough food to feed other African countries include Kenya
6)No slums
7)Lowest gap between rich and poor
8)Highest in Economic inclusiveness index in Africa
9) The most stable and peaceful country in the region
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, sijawahi sikia nchi yoyote yenye watu wenye akili timamu wanakopa pesa nyingi kujenga reli ya mzigo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani tu, only happens in failed states onlyBoss 70% is Kenyan cargo....hao 14 traders mmefungulia uzi are not even 0.0000001%. Stop majoring on the minor
Nchi karibu zote masikini zilizojenga reli ya ndani zilikopa. That includes Tanzania itself. Unadhani kujenga reli ni kama kununua mandazi kwa duka?Hahahaha, sijawahi sikia nchi yoyote yenye watu wenye akili timamu wanakopa pesa nyingi kujenga reli ya mzigo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani tu, only happens in failed states only
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuletee links ya hvyo vitu umeandika hapo[emoji848][emoji848][emoji848]Nani aliyejisifu Wakati tunajadili hii ripoti ya hawa waganda?, endeleeni kujijaza ujinga Wakati sisi tunasonga mbele
1)Lowest unemployment rate
3)Best heath care system
3)74% rural electricity connectivity, the first in Subsahara Africa followed by Nigeria
4)Highest percentage of water distribution
5) Enough food to feed other African countries include Kenya
6)No slums
7)Lowest gap between rich and poor
8)Highest in Economic inclusiveness index in Africa
9) The most stable and peaceful country in the region
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Do you have evidence for these claims? All of them are false.Nani aliyejisifu Wakati tunajadili hii ripoti ya hawa waganda?, endeleeni kujijaza ujinga Wakati sisi tunasonga mbele
1)Lowest unemployment rate
3)Best heath care system
3)74% rural electricity connectivity, the first in Subsahara Africa followed by Nigeria
4)Highest percentage of water distribution
5) Enough food to feed other African countries include Kenya
6)No slums
7)Lowest gap between rich and poor
8)Highest in Economic inclusiveness index in Africa
9) The most stable and peaceful country in the region
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu ya UNhabitat, Tanzania haina slums, ila kwa mujibu wa "individual opinions" kila mtu anaruhusiwa kusema apendavyoAti No slums. Tafuta mtu mwingine wa kudanganya
Ukinipa link nitakubaliana na wewe. Kama unijuavyo mimi huwa sibishi facts. Huwa nayakubali hata yakiwa machungu aje. Kwa sasa hujaweka facts mbele yangu kwa hivyo nabakia na dhana ya awali kuwa TZ ina slums including Tandale na Mbagala ambapo Diamond katokea.Kwa mujibu ya UNhabitat, Tanzania haina slums, ila kwa mujibu wa "individual opinions" kila mtu anaruhusiwa kusema apendavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
a) At over 75 percent access to electricity in 2019 (63.8 percent by 2017), Kenya’s rate was almost triple Uganda’s 22 percent and almost double Tanzania’s 32.8 percent and Rwanda’s 34.1 percent.Nani aliyejisifu Wakati tunajadili hii ripoti ya hawa waganda?, endeleeni kujijaza ujinga Wakati sisi tunasonga mbele
1)Lowest unemployment rate
3)Best heath care system
3)74% rural electricity connectivity, the first in Subsahara Africa followed by Nigeria
4)Highest percentage of water distribution
5) Enough food to feed other African countries include Kenya
6)No slums
7)Lowest gap between rich and poor
8)Highest in Economic inclusiveness index in Africa
9) The most stable and peaceful country in the region
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni evidence ya namba 8 hapo juu https://allafrica.com/stories/201801290111.htmlDo you have evidence for these claims? All of them are false.
Naomba link ya UN inayosema kwamba Tanzania kuna slums. Mimi jukumu langu ni kuonyesha kwamba Kenya kuna slums, Kama unakataa kwamba Kenya hakuna slums, jukumu langu ni kuthibitisha. Wewe jukumu lako ni kunithibitishia mimi kwamba Tanzania kuna slums kwasababu mimi nimekataa kwamba Tanzania hatuna slums.Ukinipa link nitakubaliana na wewe. Kama unijuavyo mimi huwa sibishi facts. Huwa nayakubali hata yakiwa machungu aje. Kwa sasa hujaweka facts mbele yangu kwa hivyo nabakia na dhana ya awali kuwa TZ ina slums including Tandale na Mbagala ambapo Diamond katokea.
Evidence ya namba 3Do you have evidence for these claims? All of them are false.
Namba 5Do you have evidence for these claims? All of them are false.
Naomba ufuate hii link ya world bank inayosema nyie mna slums kwa asilimia 51% na sisi tunazo kwa asilimia 56%. World bank sio mjomba wa mtu yeyote kwa hivyo world bank hawadanganyi.Naomba link ya UN inayosema kwamba Tanzania kuna slums. Mimi jukumu langu ni kuonyesha kwamba Kenya kuna slums, Kama unakataa kwamba Kenya hakuna slums, jukumu langu ni kuthibitisha. Wewe jukumu lako ni kunithibitishia mimi kwamba Tanzania kuna slums kwasababu mimi nimekataa kwamba Tanzania hatuna slums.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna ujeuri huo. Sie baba yenu. Tukikohoa mnapata homa kali.If they have a court order awarding them some damages, tell them to bring here asking TZ high court to enforce it.. A court will then instruct gvt to impound one KQ plane until a damage has been settled.. Simple n Clear!
Heheeee!!inclusivity my foot, hku 30 million peolpe wanacheza ligi ya multidimensional povertyHii ni evidence ya namba 8 hapo juu https://allafrica.com/stories/201801290111.html
Do you need another rap?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia mkuuHahahaha, where will you get foreign currencies, na hiyo Lamu port pia mtatumia wenyewe?, kwahiyo hilo deni la SGR litalipwa kutokana na mzigo wa Mombasa - Nairobi pekee?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app