Ugandan and Rwandan to dump Mombasa for Dar port if not compansated for the 2007 PEV's loss

Hahahaha, where will you get foreign currencies, na hiyo Lamu port pia mtatumia wenyewe?, kwahiyo hilo deni la SGR litalipwa kutokana na mzigo wa Mombasa - Nairobi pekee?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss 70% is Kenyan cargo....hao 14 traders mmefungulia uzi are not even 0.0000001%. Stop majoring on the minor
 
Haijatangazwa hiyo...mengine ni matatizo ya kiufundi.
Halafu wacha kubeat around the bush!! Mbona unakimbia mada hivyo!!!
Haiwezi tangazwa kwa His Highness mtu asije akawekwa ndani Kama wale walionyesha barabara mbovu Tz.
 
Nani aliyejisifu Wakati tunajadili hii ripoti ya hawa waganda?, endeleeni kujijaza ujinga Wakati sisi tunasonga mbele
1)Lowest unemployment rate
3)Best heath care system
3)74% rural electricity connectivity, the first in Subsahara Africa followed by Nigeria
4)Highest percentage of water distribution
5) Enough food to feed other African countries include Kenya
6)No slums
7)Lowest gap between rich and poor
8)Highest in Economic inclusiveness index in Africa
9) The most stable and peaceful country in the region
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ati No slums. Tafuta mtu mwingine wa kudanganya
 
Boss 70% is Kenyan cargo....hao 14 traders mmefungulia uzi are not even 0.0000001%. Stop majoring on the minor
Hahahaha, sijawahi sikia nchi yoyote yenye watu wenye akili timamu wanakopa pesa nyingi kujenga reli ya mzigo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani tu, only happens in failed states only

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, sijawahi sikia nchi yoyote yenye watu wenye akili timamu wanakopa pesa nyingi kujenga reli ya mzigo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani tu, only happens in failed states only

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi karibu zote masikini zilizojenga reli ya ndani zilikopa. That includes Tanzania itself. Unadhani kujenga reli ni kama kununua mandazi kwa duka?
 
Nani aliyejisifu Wakati tunajadili hii ripoti ya hawa waganda?, endeleeni kujijaza ujinga Wakati sisi tunasonga mbele
1)Lowest unemployment rate
3)Best heath care system
3)74% rural electricity connectivity, the first in Subsahara Africa followed by Nigeria
4)Highest percentage of water distribution
5) Enough food to feed other African countries include Kenya
6)No slums
7)Lowest gap between rich and poor
8)Highest in Economic inclusiveness index in Africa
9) The most stable and peaceful country in the region
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuletee links ya hvyo vitu umeandika hapo[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani aliyejisifu Wakati tunajadili hii ripoti ya hawa waganda?, endeleeni kujijaza ujinga Wakati sisi tunasonga mbele
1)Lowest unemployment rate
3)Best heath care system
3)74% rural electricity connectivity, the first in Subsahara Africa followed by Nigeria
4)Highest percentage of water distribution
5) Enough food to feed other African countries include Kenya
6)No slums
7)Lowest gap between rich and poor
8)Highest in Economic inclusiveness index in Africa
9) The most stable and peaceful country in the region
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Do you have evidence for these claims? All of them are false.
 
Kwa mujibu ya UNhabitat, Tanzania haina slums, ila kwa mujibu wa "individual opinions" kila mtu anaruhusiwa kusema apendavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukinipa link nitakubaliana na wewe. Kama unijuavyo mimi huwa sibishi facts. Huwa nayakubali hata yakiwa machungu aje. Kwa sasa hujaweka facts mbele yangu kwa hivyo nabakia na dhana ya awali kuwa TZ ina slums including Tandale na Mbagala ambapo Diamond katokea.
 
Nani aliyejisifu Wakati tunajadili hii ripoti ya hawa waganda?, endeleeni kujijaza ujinga Wakati sisi tunasonga mbele
1)Lowest unemployment rate
3)Best heath care system
3)74% rural electricity connectivity, the first in Subsahara Africa followed by Nigeria
4)Highest percentage of water distribution
5) Enough food to feed other African countries include Kenya
6)No slums
7)Lowest gap between rich and poor
8)Highest in Economic inclusiveness index in Africa
9) The most stable and peaceful country in the region
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
a) At over 75 percent access to electricity in 2019 (63.8 percent by 2017), Kenya’s rate was almost triple Uganda’s 22 percent and almost double Tanzania’s 32.8 percent and Rwanda’s 34.1 percent.
Kenya, which aims to achieve a universal access to electricity by 2022, had also an impressive rate of expanding reach compared to its neighbours.

b) In Tanzania, although improvement was observed during the last decade, infant and under five mortality rates remain high. Eighty percent of the population has physical access to health facilities, but user fees and poor quality of services, mainly due to lack of skilled health personnel, reduce the effectiveness of the health system.
Poor sanitation conditions are common both in the rural and urban areas, while access to safe water is a problem mainly for rural inhabitants. In the rural population, poverty is widespread, as approximately 40% of the population are below the basic needs poverty line, while in the urban areas approximately a quarter of the population is poor.
The diet is based on cereals (maize and sorghum), starchy roots (cassava) and pulses (mainly beans). Consumption of micronutrient dense foods such as animal products and fruits and vegetables is low and subsequently micronutrient deficiencies are widespread. At national level, the dietary energy supply does not fulfil average energy requirements of the population. The Dietary diversification index is very low, as starchy foods provide almost three quarters of the total energy supply, despite the wide variety of food produced in the country. Rapid urbanization and lower prices of imported foods have made imports of cereals rise.

More facts on the way.......
 
c) About 70 % of urban residents in most urban areas in Tanzania live in unplanned settlements, slums or squatter areas eg Kigogo, Buguruni kwa Mnyamani, Buguruni sukita,Tandale,Manzese,Mbagala,Vunguguti,Temeke to mention but a few ~ UNE P

Mores is coming.....
 
Ukinipa link nitakubaliana na wewe. Kama unijuavyo mimi huwa sibishi facts. Huwa nayakubali hata yakiwa machungu aje. Kwa sasa hujaweka facts mbele yangu kwa hivyo nabakia na dhana ya awali kuwa TZ ina slums including Tandale na Mbagala ambapo Diamond katokea.
Naomba link ya UN inayosema kwamba Tanzania kuna slums. Mimi jukumu langu ni kuonyesha kwamba Kenya kuna slums, Kama unakataa kwamba Kenya hakuna slums, jukumu langu ni kuthibitisha. Wewe jukumu lako ni kunithibitishia mimi kwamba Tanzania kuna slums kwasababu mimi nimekataa kwamba Tanzania hatuna slums.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If they have a court order awarding them some damages, tell them to bring here asking TZ high court to enforce it.. A court will then instruct gvt to impound one KQ plane until a damage has been settled.. Simple n Clear!
 
Naomba ufuate hii link ya world bank inayosema nyie mna slums kwa asilimia 51% na sisi tunazo kwa asilimia 56%. World bank sio mjomba wa mtu yeyote kwa hivyo world bank hawadanganyi.
https://data.worldbank.org/indicato...cations=ZW-TZ-ZA-IQ-IR-PH&start=2014&view=bar
 
If they have a court order awarding them some damages, tell them to bring here asking TZ high court to enforce it.. A court will then instruct gvt to impound one KQ plane until a damage has been settled.. Simple n Clear!
Hamna ujeuri huo. Sie baba yenu. Tukikohoa mnapata homa kali.
 
Hahahaha, where will you get foreign currencies, na hiyo Lamu port pia mtatumia wenyewe?, kwahiyo hilo deni la SGR litalipwa kutokana na mzigo wa Mombasa - Nairobi pekee?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia mkuu
Eldoret vs Tanzania + Zanzibar + East Africa
Screenshot_20200321-135158.png
 
Back
Top Bottom