Tatizo nilichokiandika ni ukwel mtupuSasa kama unawabishia hata WEF, hiyo ni shida ya matatizo katika ubongo, sina jinsi ya kukusaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maneno ya mlevi! 2007 tulikuwa tumelala tumevuta shuka…sasa tumeshaamka, a sleeping giant is awake'…Kenya brother, kaeni mkao wa kutimuliwa vumbi soon enough ki roho safi!
Huelewi, tuna miaka kama 4+ tangu tuamke! If she don't fall asleep again, it 'll be just a matter of time b4 you realize what it mean!Tanzanian sleeping giant has been waking up since 1990 ...hata ghana wamempita uchumi bado mnaexpect kuovertake kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Give evidence that those data from WB are the most recent data 2019/20. The minister gives the most recent data for 2020.Propaganda, that is not factual even the world bank disputes those figure, overall electricity access in Tanzania is at 38%. Facts do not care about your blind nationalism or your feelings. That is why you will always play second fiddle to kenya.
Ndio sababu nikakuambia, ninyi bado mnaichukulia Tanzania ile ya Kikwete, 2014 hizo ni enzi za Kikwete alikua akisafiri duniani kote kama anavyosafiri Uhuru Kenyatta, Tanzania ya kuanzia 2015 hadi 2020 ni tofauti kabisaWacha kusongeza goal post
Mimi nimekuwekea taatifa ya WEF, Kama hata wao pia unapingana nao, hiyo hainuhusu, hiyo ni sawa na kichaa kutembea uchi akidhani yeye ndio yupo sahihi Wakati dunia nzima wamevaa nguo yeye anadhani dunia nzima at inafanya makosa
Mkikooa mna coronaHamna ujeuri huo. Sie baba yenu. Tukikohoa mnapata homa kali.
Wakati wakenya wakiangaika na vitu vya zamani tz inafanya mambo mapya na kubadili mambo day to day sasa siku si nyingi tutasikia kilio cha nyani kukatika mkia kwa jiraniWacha kusongeza goal post
Nyie hamtawahi kutufikia kwa maendeleo especially mambo ya infrastructure. Yaani electricity generation and distribution. Road and railway construction. High quality hospitals and schools. Mtazidi kutuiga sisi maana sisi ndio trend setters hapa EA. Mulie mucheke daima sie tuko mbele yenu. Mipango ya Mungu haya huwezi kuyabadilisha pengine Mungu mwenyewe ayabadilishe.Wakati wakenya wakiangaika na vitu vya zamani tz inafanya mambo mapya na kubadili mambo day to day sasa siku si nyingi tutasikia kilio cha nyani kukatika mkia kwa jirani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hahahahaNyie hamtawahi kutufikia kwa maendeleo especially mambo ya infrastructure. Yaani electricity generation and distribution. Road and railway construction. High quality hospitals and schools. Mtazidi kutuiga sisi maana sisi ndio trend setters hapa EA. Mulie mucheke daima sie tuko mbele yenu. Mipango ya Mungu haya huwezi kuyabadilisha pengine Mungu mwenyewe ayabadilishe.
Hahahaha, sijawahi sikia nchi yoyote yenye watu wenye akili timamu wanakopa pesa nyingi kujenga reli ya mzigo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani tu, only happens in failed states only
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unakubaliana na mimi mkuu
Hahahaha, hahahaha. Failed state ninyiNyinyi 200km imewashinda kumaliza for 3 years now. Mturuki bado hajatoa pesa ama shida iko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes you are correct, but that doesn't nullify the fact that Tanzania is leading Afrika with over 74% rural connectivity, followed by Nigeria 72%
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nimefanya kukuelwesha tu, huu mchezo hauhitaji hasira bana...Mimi nimekuwekea taatifa ya WEF, Kama hata wao pia unapingana nao, hiyo hainuhusu, hiyo ni sawa na kichaa kutembea uchi akidhani yeye ndio yupo sahihi Wakati dunia nzima wamevaa nguo yeye anadhani dunia nzima at inafanya makosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaaaa haaaahaaaa haaaaaahaaa!!!!Naona unakubaliana na mimi mkuu