'Uganga' wa kusaidia yatima unawalipa Yanga, watafika mbali huku tukilalamika kuwa wanacheza na timu mbovu

'Uganga' wa kusaidia yatima unawalipa Yanga, watafika mbali huku tukilalamika kuwa wanacheza na timu mbovu

Delete
Delete
Delete
Delete
Kijana kodi yako utanilipa mdg mdg, usichaganyikiwe zaidi ya hapa
 
Kama mnakumbuka Manara alipokuwa Simba aliwahi kusema Simba itachukua ligi kuu 10 years back to back. Jeuri ile ilitokana na mganga ambaye aliletwa na Manara. Na wakati ule Simba pia walikuwa wakitoa misaada kila wanapoenda kucheza mechi. Baada ya kufukuzwa Simba na kwenda Yanga Manara alihama na mganga huyo ndio maana unaona utamaduni wa misaada umehamia upande wa pili.
Acha uongo
Yanga misaada haijaanza Jana wala Leo
Tangu Enzi za kina sarpong
Kwa ufupi tangu Hersi amechaguliwa kua Rais alianza huo utamaduni
Sasa Hersi na Manara Nani kamkuta mwenzake?
 
kumbe GENTAMYCINE huwa yuko sahihi kwa ayasemayo kwani hata juzi aliandika hapa na kusema kuwa yanga sc inatumia sharti hili la mganga la kusaidia yatima hasa watoto na kuchangia damu ili jihi lao la mafanikio lifurahi na wawe wanashinda hata mechi iliyo ngumu kwao.
Yaani unajitia kidole mwenyewe halafu unanusa, mzee huwezi kiwazidi watu akili hata siku moja! Utafanikiwa tu kubadili IDs lakini upumbavh hautoweza kubadili hata iweje
 
Back
Top Bottom