Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni yeye kumbePopoma ana ID's nyingi mpaka basi! Huyu jamaa sijui ni tapeli!
Acha uongoKama mnakumbuka Manara alipokuwa Simba aliwahi kusema Simba itachukua ligi kuu 10 years back to back. Jeuri ile ilitokana na mganga ambaye aliletwa na Manara. Na wakati ule Simba pia walikuwa wakitoa misaada kila wanapoenda kucheza mechi. Baada ya kufukuzwa Simba na kwenda Yanga Manara alihama na mganga huyo ndio maana unaona utamaduni wa misaada umehamia upande wa pili.
Yaani unajitia kidole mwenyewe halafu unanusa, mzee huwezi kiwazidi watu akili hata siku moja! Utafanikiwa tu kubadili IDs lakini upumbavh hautoweza kubadili hata iwejekumbe GENTAMYCINE huwa yuko sahihi kwa ayasemayo kwani hata juzi aliandika hapa na kusema kuwa yanga sc inatumia sharti hili la mganga la kusaidia yatima hasa watoto na kuchangia damu ili jihi lao la mafanikio lifurahi na wawe wanashinda hata mechi iliyo ngumu kwao.