Uganga wa Mshana Jr. unapofeli; Yanga 1 Simba 0

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ama kwa uhakika mkuu Mshana jr leo umetuangusha bhana.

Baada ya kukusoma katika ule uzi wa Bawacha pale Mlimani City kwamba leo Mnyama hapakatwi bali anauwa, si ndio nikaagiza bia zangu kusherehekea ushindi lakini yaliyojiri wewe mwenyewe umeyashuhudia.

Kamanda mshana jr leo umeniangusha!
 
Jamaa ametufanya tuingie gharama za kula bia mapema kumbe hakuna kitu hivi mshana jr anaelewa ametusababishia hasara


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…