johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Hahahaaaaaa....... Nasikia Yanga kandambili walilala uwanjani kuzuia nguvu za giza!Kilichotokea uwanjani ni siri kubwa... Lakini kiroho bado Simba kashinda
Jr[emoji769]
[emoji3][emoji3][emoji3] kiroho wapi, mmepigwa tuu.Kilichotokea uwanjani ni siri kubwa... Lakini kiroho bado Simba kashinda
Anajitahidi asiondoe uaminifu. 🤣🤣🤣
waganga wa CCM hamna kitu kabisaAma kwa uhakika mkuu Mshana jr leo umetuangusha bhana.
Baada ya kukusoma katika ule uzi wa Bawacha pale Mlimani City kwamba leo Mnyama hapakatwi bali anauwa, si ndio nikaagiza bia zangu kusherehekea ushindi lakini yaliyojiri wewe mwenyewe umeyashuhudia.
Kamanda mshana jr leo umeniangusha!
Kawandange wamama kuhusu dawa za uzazi wewe si ndiye Dr mwaka.Kilichotokea uwanjani ni siri kubwa... Lakini kiroho bado Simba kashinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kirohoKilichotokea uwanjani ni siri kubwa... Lakini kiroho bado Simba kashinda
Mpira unadunda kakaAma kwa uhakika mkuu Mshana jr leo umetuangusha bhana.
Baada ya kukusoma katika ule uzi wa Bawacha pale Mlimani City kwamba leo Mnyama hapakatwi bali anauwa, si ndio nikaagiza bia zangu kusherehekea ushindi lakini yaliyojiri wewe mwenyewe umeyashuhudia.
Kamanda mshana jr leo umeniangusha!
jamaa had leo haachiwi tu!!
Ni muhimu kufanya hivyo ili vifua vipate nafuu
Jr[emoji769]
Doctor alipindisha utabiri wake sababu anaipenda simba, kilichotokea sasa kituuu[emoji3][emoji3]
Yaani uaminifu kurudi tena sijui, ashapoteza wateja hivoo, eti Simba watapata 4 goals badala yake wamepata nunge(0), simba wa kufugwaa[emoji3][emoji3][emoji3]Anajitahidi asiondoe uaminifu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa ndiyo ramli chonganishi,wanasakwa na serikaliYaani uaminifu kurudi tena sijui, ashapoteza wateja hivoo, eti Simba watapata 4 goals badala yake wamepata nunge(0), simba wa kufugwaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna siku nimefurahi Kama Jana..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Doctor mambo![emoji3][emoji3][emoji44][emoji44][emoji24]
Jr[emoji769]