Ugeni na ....

Ugeni na ....

Nashukuru kwa mawazo, yawezekana hobbies haziendani. Nasiwezi kujilazimishia kuiga hobbies zake! Na zaidi ya hapo naoana anapenda magenge kama chokoraa. Mtu asiyekuwa na discipline na kuithamini ndoa yake ni kama chokaraa.

Du! Jamani, kabla hujamuoa mtu au hujaolewa na mtu tafadhali jaribu kumjua. Ukishamjua ndio uamue upo tayari ama la. Ukiyajua mapungufu ya mtu kabla ni bora kwa sababu ukiingia ushajipanga kuvumilia.

Kama ni uchokoraa kuna uwezekano huyo jamaa alikuwa nao toka zamani. Pengine sio yeye aliyebadilika ... bali ni wewe ndio umebadilika, macho yakafunguka, na kuanza kutambua uwepo wa uchokoraa wake.

Chonde chonde jamani mjue mwenza wako kabla hujasema "nakubali".

Mshakaji wangu mmoja aliolewa na jamaa hivyo-hivyo, akaja kugundua wakati wapo ndani kwamba jamaa anamatatizo ya kukojoa kitandani. Kazi kwelikweli ...

Kwa wale madume wenzangu tunaojidanganyaga kwamba the past history does not matter ... ushauri wangu ni kwamba chunga sana. Ukawii kuanza kujilaumu

Kama unaweza tumia hata usalama wa taifa kumjua mtu wako. Na wewe jitahidi mwenza wako akujue fika, nje ndani. Maana inawezekana wewe una lalama na hili, kumbe na yeye anayakwake moyoni.

Rule 1: Mjue mwenza wako, ikiwezekana kabla hata hujamchanulia, unless you are not there for the long haul ... in which case u can always quit badala ya kulalama
 
Ukorofi kanifundisha yeye yaghe. CHOKORAA NI CHOKORAA TUU. kama mtu unamkanya kwa nini asisikie, si utamfanisha na chokoraa tuu. Na sio eti sipendi wageni, napenda sana ila kuwe na limit of everything. Na bora ingekuwa ni mara moja moja basi in a blue moon. In a month it happens like 3 times in weekends. Looh! Yakikaa vibaya pipa tutakweya tuu hio sio tatizo, I was not chases away. Lol!

Sasa wewe unaendelea kukaa naye ili iweje sasa? Hivi hizo ndoa huwa hazivunjikagi ama?

Ameshakuzalisha? Au ndio unasubiri akuzalishe upate excuse ya kuendelea kulalama maisha yako yote?

Sasa wewe ushatambua kwamba huyo mwenzako chokoraa. Halafu hupendi huo uchokoraa. Unasubiri nini sasa? Ondoka au mtimue. Kama anakupa vijimambo vya maana kiasi kwamba kumuacha inakuwia vigumu, basi mama gharama yake ndio hiyo. Kuwa mpole, vumilia, ilipe taratibu. Kama ni ghali hebu achaneni tu maana aina yenu hamkawii kuanza kutupiana sahani for the rest of your lives.

Ndugu zangu wengine, mara ya mwisho nilimshauri mshakaji aliyekuwa analalama kupita kiasi kuhusu demu wake aliyekuwa anamletea vituko vilivyopitiliza nilijuta. Maana hata harusi sikualikwa. lol . Hawa watu saa nyingine mnawaacha tu wenyewe, kama ni wa kuridhiana wataridhiana, la sivyo watajua tu la kufanya. Ningekuwa na wasiwasi kama angekuwa ananyanyaswa kijinsia, ambayo ingekuwa ni kesi rahisi ya polisi.
 
akimleta siku nyengine ukiona dalili za kumkaribisha tena kulala .. unavaa kanga moja na mapemaaaa ... ujipitishe mara mbili tatu mbele yao .. si unajua tena mtoto wa kike .. mumeo will think otherwise .. usijisumbue kugombana nae .. actions speak louder than words

Teh teeeh.....! Kama dawa hii ni zaidi ya MUAROBAINI
 
Ukorofi kanifundisha yeye yaghe. CHOKORAA NI CHOKORAA TUU. kama mtu unamkanya kwa nini asisikie, si utamfanisha na chokoraa tuu. Na sio eti sipendi wageni, napenda sana ila kuwe na limit of everything. Na bora ingekuwa ni mara moja moja basi in a blue moon. In a month it happens like 3 times in weekends. Looh! Yakikaa vibaya pipa tutakweya tuu hio sio tatizo, I was not chases away. Lol!

Na maisha ya ughaibuni yalivyo magumu 3 times in weekends..?! Wageni wanachangia gharama za chakula na vinywaji? Wema usizidi uwezo 4x4byfar.
 
Hajakatazwa kwenda kujumuika na mtu yoyote. Sema uchokoraa ndo unaomsumbua naona na wewe ndo hao hao. Pole.
...Eeehh!! Unawezaje kumuita mumeo chokoraa au umeegesha tu hapo unaweka sawa mambo yako then ule kona??? Hata kama unachukizwa na ulevi wake na kukaribisha wageni sio kumuita chokoraa!!!
 
Haya jamani, mada yangu inaendelea juzi tumetoka kugombana sana kuhusiana na hao wanawake kumpigia simu. Alipiga mmoja wao ambaye Mr. anadai alisaidiawa naye sana kwenye mambo ya offisi sometimes back. Hiyo siku alipiga kumwambia eti alikuwa anataka kuja kulala kwa sababu buses zilikuwa zimeisha na yeye anaishi mbali. Ilibidi niwe mkali na kukataa maana Mr. alisema alishaambiwa na watu anatembea na huyo mama maana wako karibu sana, ila yeye alikana. Sasa hebu nipeni ushauri katika hilo kama sio kupigwa bao hivi unaona tena ndani kwako. Boo! acha tuonekane na roho mbaya.
 
...Eeehh!! Unawezaje kumuita mumeo chokoraa au umeegesha tu hapo unaweka sawa mambo yako then ule kona??? Hata kama unachukizwa na ulevi wake na kukaribisha wageni sio kumuita chokoraa!!!
Ni kweli kama amekaa kichokoraa tutaegesha tuu au sio.
 
Haya jamani, mada yangu inaendelea juzi tumetoka kugombana sana kuhusiana na hao wanawake kumpigia simu. Alipiga mmoja wao ambaye Mr. anadai alisaidiawa naye sana kwenye mambo ya offisi sometimes back. Hiyo siku alipiga kumwambia eti alikuwa anataka kuja kulala kwa sababu buses zilikuwa zimeisha na yeye anaishi mbali.
"OMG, do not believe her, friendhsip is good, but ange tafuta hayo ma basi mapema , hiyo ni excuse aliyo tumia zamani and maybe alifikiri ya kwamba it can work again, Usikubali.

niwe mkali na kukataa maana Mr. alisema alishaambiwa na watu anatembea na huyo mama maana wako karibu sana, ila yeye alikana. Sasa hebu nipeni ushauri katika hilo kama sio kupigwa bao hivi unaona tena ndani kwako. Boo! acha tuonekane na roho mbaya.
If huyo rafiki angeweza kupata basi ya kusafiri, ange jiendea motel, hotel anywhere esle but hapo kwako. sounds like a booty call!!
 
Last edited:
Back
Top Bottom