Ugiriki yahalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja

Ugiriki yahalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Ugiriki imekuwa nchi ya kwanza yenye Wakristo wengi wa Orthodox kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja.

Wapenzi wa jinsia moja sasa pia wataruhusiwa kisheria kuasili watoto baada ya kura ya Alhamisi.

Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis alisema sheria hiyo mpya "itakomesha kwa nguvu ukosefu mkubwa wa usawa".

Lakini sheria hiyo imegawanya nchi, huku upinzani mkali ukiongozwa na Kanisa la Othodoksi la Ugiriki lenye nguvu.
 
Naona hii topiki imekupendeza sana hadi unaiweka humu ili watu waielewe.
Hongera zako.
🤔🤔🤔 kila unacholeta hapa ni lazima uwe na msimamo nacho? Inaitwa kuhabarishana, huwezi kujua taarifa hii inaweza kukusaidia kufanya maamuzi siku kuhusu Ugiriki. Kunywa chai upunguze hasira
 
Najua mtanichukia pengine na kunitukana sana ila ila ndio ukweli wakristo mnapenda sana kusagana na kua vyakula Maghayo natumai hii habari wewe na wenzako munaifurahia sana
Haya changamkieni fursa maana zinazidi kujitokeza tu yaaani MK254
Tunawaomba sana kwamba musisahau kuvaa pampers na na kuwa wasafi muda wote hasa Jumaapili [emoji23][emoji16][emoji23]
 
Kweli kanisa limepinga ila wagiriki siyo wote Wakristo, wa dini nyingine wanasemaje? Wakatoliki tumejua msimamo wao watawabariki.
ugiriki asilimia kubwa ni wa orthodox ,,,,wa dini nyingine ni sehemu ndogo sana nahisi wanapitwa hata na wasio amini dini ndani ya hio nchi
 
[emoji848][emoji848][emoji848] kila unacholeta hapa ni lazima uwe na msimamo nacho? Inaitwa kuhabarishana, huwezi kujua taarifa hii inaweza kukusaidia kufanya maamuzi siku kuhusu Ugiriki. Kunywa chai upunguze hasira
Kwahiyo hii topiki inatusaidia nini sisi wasomaji?
 
Uliwahi kusikia au kusoma mahala Kanisa Katoliki likikubaliana na ndoa za jinsia moja?
Ulishawahi soma sehemu wakristo mmekataa kubarikiwa?
Nenda ukapokee baraka acha hizi kelele hazitasaidia kitu
Au ushabarikiwa tayari? [emoji848]
 
Kwa hiyo wewe kwako kubarikiwa mi dhambi. Mnapoomba baraka kumbe huwa mmatenda dhambi?
Baraka kuombwa ni siri ya mtu na Mungu
Nyie mnabariki vyakula yaani chakula kinakuja unakipa baraka
Linakuja jamaa huko na mmewe mwanaume mwenzie ama mkewe mwanamke mwenzie munatoa baraka zakutosja
Ukristo ni upotovu na upotoshaji mkubwa kwa hakika
 
Baadhi ya nchi zilizohalalisha ushoga
1. Italy - Roman Catholic
2. Germany - Lutheran
3. USA -(SDA, pentecostal n.k)
4. Greek (Orthodox)
5. England (Anglican)
6. Israel (Zionist)

Watu imefikia hatua hadi wachungaji wanataka kunyanduliwa. Utandawazi umeweka mambo mengi wazi kuondoa propaganda za kipindi cha nyuma.
NB: Lugha ya asili ya agano jipya ni kigiriki
 
Back
Top Bottom