waafrika banaila bora hawa kanisa lao linapinga shida ni huku kwa papa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waafrika banaila bora hawa kanisa lao linapinga shida ni huku kwa papa
mwafrika kichwan mtupu ,muda wote anawaza ushabiki[emoji848][emoji848][emoji848] kila unacholeta hapa ni lazima uwe na msimamo nacho? Inaitwa kuhabarishana, huwezi kujua taarifa hii inaweza kukusaidia kufanya maamuzi siku kuhusu Ugiriki. Kunywa chai upunguze hasira
usije fikiria kwenda ugiriki kama ww ni mpinzan wa hayo mambo , unataka aje mwl wa masters akufundishe kuhusu hili piaKwahiyo hii topiki inatusaidia nini sisi wasomaji?
mvaa kobaz umechanganyikiwaUlishawahi soma sehemu wakristo mmekataa kubarikiwa?
Nenda ukapokee baraka acha hizi kelele hazitasaidia kitu
Au ushabarikiwa tayari? [emoji848]
RAHA SANAwaafrika bana
Hawana habari hata za hizo baraka,,,bora katoliki ya mashariki kuliko hii katoliki ya warumi ushetani mtupuUliwahi kusikia au kusoma mahala Kanisa Katoliki likikubaliana na ndoa za jinsia moja?
Unaijua style ya Mbuzi Kagoma? Inakuwaje inapotokea watu tena wanaume wanajitenga kwa hiyo style ya mbuzi kagoma au Chuma mboga?Baraka kuombwa ni siri ya mtu na Mungu
Nyie mnabariki vyakula yaani chakula kinakuja unakipa baraka
Linakuja jamaa huko na mmewe mwanaume mwenzie ama mkewe mwanamke mwenzie munatoa baraka zakutosja
Ukristo ni upotovu na upotoshaji mkubwa kwa hakika
Huwa nashangaa sana, habari kama hizi zimapewa mileage sanaNaona hii topiki imekupendeza sana hadi unaiweka humu ili watu waielewe.
Hongera zako.
wamepiga hatua kubwa na mbaya sana ya ufirauni, uchafu na uharibifu. Ni chikizo machoni pa Mungu 🐒Ugiriki imekuwa nchi ya kwanza yenye Wakristo wengi wa Orthodox kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja.
Wapenzi wa jinsia moja sasa pia wataruhusiwa kisheria kuasili watoto baada ya kura ya Alhamisi.
Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis alisema sheria hiyo mpya "itakomesha kwa nguvu ukosefu mkubwa wa usawa".
Lakini sheria hiyo imegawanya nchi, huku upinzani mkali ukiongozwa na Kanisa la Othodoksi la Ugiriki lenye nguvu.
Unataka tu upoteze muda wangu kubishana mambo ya kijinga, tayari umejua nchi hiyo mlengo wako ukoje, ukibahatika kwenda nchi hiyo siku moja utajua ni cha kufanya au kutofanya ukiwa huko, umeshajua tayari kama ni sehemu inakufaa kwenda au lah kutokana na misimamo yako, wanadiplomasia watajua nchi hiyo wanaenda nayo vipi kutokana na mahusiano yao na nchi hiyo.Kwahiyo hii topiki inatusaidia nini sisi wasomaji?
Una lalamika, una shutumu, una chamba au una tetea ? Sielewi upo kundi gani kwa hivi ulivyo andikaKwa hiyo Papa alikwambia anawaandaa? Hao Mashoga na si wanatokea huko kwenye familia zenu mnazoishi? Ninyi wanajamii mlipoamua kuwa mashoga na kuzalisha mashoga na kuishi nao ni mani aliyewaandaeni?
Kama wanajamii ndiyo mmezalisha watu wa aina hiyo, na mnaendelea kuwatengeneza kwa wingi halafu lawama mnataka muwatupie watu wanaotetea uhai ndani yao? Mashoga wapo haya tuambie wewe, umewafanya nini hao mashoga huko mtaani kwenu?
Kabla haujataka kuelewa ni vyema ukajiuliza kama kuelewa is your thing.Una lalamika, una shutumu, una chamba au una tetea ? Sielewi upo kundi gani kwa hivi ulivyo andika