Ugomvi huu nimeshindwa kuamua, wenye uwezo amueni

Ugomvi huu nimeshindwa kuamua, wenye uwezo amueni

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
7,799
Reaction score
14,215
Habar zenu ndugu zangu.

Ebwana nimefika maskan fulan nikakuta kuna kabishano balaa. Yan jamaa watatu.. Mmoja anatokea Magomen, wa pili anatokea Ilala, na watatu anatokeaKinondoni.

Sasa kila mtu anadai kuwa kwao ndio walipotokea/wanapotokea wajanja wa mji, na mafia wakubwa wanaoogopeka huko dunia ya kwanza kama vile US, UK, Canada na kwengineko kwa kuuza bwimbwi, mihadarati mbali mbali na kuishi maisha ya expensive. Kwahiyo hii ligi mimi wa pemben ya maeneo hayo niliona hainihusu.

Kama kuna mtu ana ujuzi zaidi wa haya yaliobishaniwa hapa anaweza kueleza ili nirudi nikamalize ubishi.
 
Itakua wote wanaishi kwa shemeji zao, wakikaa sebleni wanna gombania remote na usiku wakishashiba wanalala kwenye makochi, ndio maana hawawazi mambo ya msingi..teh🤣
 
Habar zenu ndugu zangu. Ebwana nimefika maskan fulan nikakuta kuna kabishano balaa. Yan jamaa watatu.. Mmoja anatokea Magomen, wa pili anatokea Ilala, na watatu anatokeaKinondoni. Sasa kila mtu anadai kuwa kwao ndio walipotokea/wanapotokea wajanja wa mji, na mafia wakubwa wanaoogopeka huko dunia ya kwanza kama vile US, UK, Canada na kwengineko kwa kuuza bwimbwi, mihadarati mbali mbali na kuishi maisha ya expensive. Kwahiyo hii ligi mimi wa pemben ya maeneo hayo niliona hainihusu. Kama kuna mtu ana ujuzi zaidi wa haya yaliobishaniwa hapa anaweza kueleza ili nirudi nikamalize ubishi.
Toa namba zao itakuwa wanatoa07466
 
Back
Top Bottom