snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Leo asubuhi nipo uwanjani kwangu nafagia,wakawa wanapita watoto wadogo tu around kama miaka 6 au 7 hivi,wanaongea na haya ndo niliyoyasikia
mtoto wa kwanza;yani mi leo usiku hata sijalala babangu na mamangu wamepigana kama nini aftena baba kamfukuza mama mpka sa hivi hata hajarudi
mtoto wa pili:sa si ungemuuliza babaako akwambie?
mtoto wa kwanza:nimuulize aftena anipige,kwanza amempiga mama mpka nguo zimeanguka
......... sijui waliendelea kuongea nini maana walinipita na kuniacha wakaendelea na safari
MY TAKE!
jamani wazazi chondechonde tusigombane mbele ya hawa watoto tunawapa trauma kubwa sana kwa maisha yao,inawaathri pia hata darasani utakuta mtoto analia ukimuuliza anakujibu mi staki kurudi nyumbani leo namuogopa baba/mama.ukikaa nae zaidi unakuta ni kweli nyumbani kuna tatizo
kwa ubinadamu wetu ni sawa tunatofautiana lakini hii haimaanishi tupeleke athari mpka kwa watoto,unamvua nguo mkeo au unamtukana mume wako mbele za wattot unategemea kesho kuna heshima hapoa ndani tena
mtoto aliyekua katika familia ya aina hiyo hatakaa kamwe aamini katika upendo na mapenzi,kwake yeye tafsiri ya ndoa na mahusiano ni kuumia na kuumiza tu!hawezi kumjali mwenzi wake,hawatwezi kumudu kujifunza darasanai wala kwa wenzie.
Zipo aina nyingi sana za adhabu au reaction unaweza kufanya kwa mume/mke inapotokea ana makosa lakini sio kupigana aua kutukanana my dears!unawezaje kuupiga mwili ambao kesho yake unataka kuutamani tena ukuridhishe.mwanaume unayemtukana anawezaje tena kukuhudumia na kutimiza mahitaji yako kama mke