ugomvi mbele ya watoto.

ugomvi mbele ya watoto.

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,065
Reaction score
24,559
Leo asubuhi nipo uwanjani kwangu nafagia,wakawa wanapita watoto wadogo tu around kama miaka 6 au 7 hivi,wanaongea na haya ndo niliyoyasikia
mtoto wa kwanza;yani mi leo usiku hata sijalala babangu na mamangu wamepigana kama nini aftena baba kamfukuza mama mpka sa hivi hata hajarudi
mtoto wa pili:sa si ungemuuliza babaako akwambie?
mtoto wa kwanza:nimuulize aftena anipige,kwanza amempiga mama mpka nguo zimeanguka
......... sijui waliendelea kuongea nini maana walinipita na kuniacha wakaendelea na safari

MY TAKE!
jamani wazazi chondechonde tusigombane mbele ya hawa watoto tunawapa trauma kubwa sana kwa maisha yao,inawaathri pia hata darasani utakuta mtoto analia ukimuuliza anakujibu mi staki kurudi nyumbani leo namuogopa baba/mama.ukikaa nae zaidi unakuta ni kweli nyumbani kuna tatizo
kwa ubinadamu wetu ni sawa tunatofautiana lakini hii haimaanishi tupeleke athari mpka kwa watoto,unamvua nguo mkeo au unamtukana mume wako mbele za wattot unategemea kesho kuna heshima hapoa ndani tena
mtoto aliyekua katika familia ya aina hiyo hatakaa kamwe aamini katika upendo na mapenzi,kwake yeye tafsiri ya ndoa na mahusiano ni kuumia na kuumiza tu!hawezi kumjali mwenzi wake,hawatwezi kumudu kujifunza darasanai wala kwa wenzie.
Zipo aina nyingi sana za adhabu au reaction unaweza kufanya kwa mume/mke inapotokea ana makosa lakini sio kupigana aua kutukanana my dears!unawezaje kuupiga mwili ambao kesho yake unataka kuutamani tena ukuridhishe.mwanaume unayemtukana anawezaje tena kukuhudumia na kutimiza mahitaji yako kama mke
 
Tulishaisema hapa hii habari..Na watu wakaonyesha implications ya magomvi ya wanandoa kwa watoto..
Ila hapa pacha kama umechanganya mada mbili kwa pamoja..''unawezaje kuupiga mwili ambao kesho yake unataka kuutamani tena ukuridhishe.mwanaume unayemtukana anawezaje tena kukuhudumia na kutimiza mahitaji yako kama mke..'' Naona mada ilikuwa kupigana mbele ya watoto..ila naona kama umechomekea..Kupigana ni repercussion ya kuudhiana kwa hiyo ni vizuri wanandoa wakajiegemeza kwenye upande wa kutotaka kuudhiana ili kuzuia vipigo na magomvi..
 
Me hiyo nshawahi kuona snowhite si jambo la busara my uncle amelala nje akarudi mchana wa siku ya pili alipokuwa anaingia mkewe anatoka kuoga mkewe kumuask akaja juu mke ikamkera nae akareact my uncle akampiga mkewe wakati anatoka mbio kujihami nguo zikamuanguka wanae wa kiume walikuwepo ikabidh mmoja akaingia ndani akachukua kanzu akamvisha mama yake wakati huo mama yake yuko nje
 
Hawa wanandoa hawa!
Nasoma sana bible niwe mchungaji mfungishaji ndoa na wakizingua nawachapa wote tena mbele ya watoto
 
kama wote ni mabondia,,,ingieni rum,,,,muwashe mziki.....house music is meant 4 that,,,,zitwangeni,,,,ila watoto wasisikie......
 
Me hiyo nshawahi kuona snowhite si jambo la busara my uncle amelala nje akarudi mchana wa siku ya pili alipokuwa anaingia mkewe anatoka kuoga mkewe kumuask akaja juu mke ikamkera nae akareact my uncle akampiga mkewe wakati anatoka mbio kujihami nguo zikamuanguka wanae wa kiume walikuwepo ikabidh mmoja akaingia ndani akachukua kanzu akamvisha mama yake wakati huo mama yake yuko nje
imagine!
 
Tulishaisema hapa hii habari..Na watu wakaonyesha implications ya magomvi ya wanandoa kwa watoto..
Ila hapa pacha kama umechanganya mada mbili kwa pamoja..''unawezaje kuupiga mwili ambao kesho yake unataka kuutamani tena ukuridhishe.mwanaume unayemtukana anawezaje tena kukuhudumia na kutimiza mahitaji yako kama mke..'' Naona mada ilikuwa kupigana mbele ya watoto..ila naona kama umechomekea..Kupigana ni repercussion ya kuudhiana kwa hiyo ni vizuri wanandoa wakajiegemeza kwenye upande wa kutotaka kuudhiana ili kuzuia vipigo na magomvi..

pacha lakini wote huo si ugomvi au nimechanganya wapi tena topic?inawezekena si unajua tena reproduction unaikuta kote kote kuanzia Bios,GS,mpaka Geography kwa hiyo yote ndo humo humo!
 
Kupigana au kutukanana mbele ya watoto ni sehemu ya malezi mabaya kwa familia.
 
Kwa bi Nyau haipo Mwananyamala
umeona ulivyo naswa?

mezea:sleepy:!nna wanafunzi wangu humu watagomaje nikiwapa kosa kwenye somo la geography,imagine miongoni mwa wanafunzi hao ni Asprin!
 
Back
Top Bottom