johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna yule Kijana wa kiume kabadili Jinsia kabisa 🐼Mashoga wangapi wamekamatwa Moshi? acha uzwazwa, ushoga upo Pwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna yule Kijana wa kiume kabadili Jinsia kabisa 🐼Mashoga wangapi wamekamatwa Moshi? acha uzwazwa, ushoga upo Pwani
SIzani Kama Jamaa ana masege huyu Watakuwa Wameshayatoa kwenye Gari Yake Kwa hiyo Anaona bora Na wengine Watolewe masege kama Yeye.Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao??
Wanakutupa Nyumba Nitu ukawe MsukuleVipi hapo kwenu wanging'ombe bwashee?
Huo utakuwa mchele wa virutubisho vya kuongeza Hormone za kike wakila watoto wetu wawe mashoga kazi kwenu Wa-Tanzania munaopenda Misaada ya bure itawaponza sana.Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao??
imani na fikra potofu juu ya jambo fulani hususan lililopo kwenye public domain hivi sasa, ni mzigo mzito, uraibu mbaya sana na utumwa ambao saa zingine nadhani ndio unachangia pakubwa vijana wadogo tu, kuota mvi na hawajaoa na wala hawana watoto, wala laplot na umri unasonga na bado wanaishi kwa wazaza......Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao??
Unaonge vitu vya kufikirika Sana nyie waswahiliHuo utakuw amchele wa virutubisho wakuongeza hormone za kike wakila watoto wetu wawe mashoga kazi kwenu Wa-Tanzania munaopenda Misaada ya bure itawaponza sana .
Wamarekani wana tetea ushoga na mashoga waarabu wanapinga ushoga na kutetea ubasha lakini waisiharamu wanamuona muarabu ni mwema very stupiid people...fulishiiMaoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao??
Mkuu Yoda . Hii siyo mara ya kwanza kwa misaada ya chakula kutoka Marekani kwa shule zetu. Kipindi cha mwalim Nyerere hii misaada ilikuwa ni kitu cha kawaida kabisa. Walikuwa wanalisha shule nyingi mkoani Kilimanjaro. Walikuwa wanaleta misaada ya mafuta ya karanga, unga wa ugali, ule wa njano na kitu kilichoitwa shayiri (nafaka kama mchele). Pia walikuwa wanatoa maziwa ya unga. Kama ni mbinu chafu, kizazi cha sasa hivi chenye umri wa kuanzia miaka 50 mkoani Kilimanjaro kingedhurika vibaya sana. Nasema hivi kwa sababu kaka na dada zangu wamevitumia hivi vitu wakati wako shule za msingi mpaka wakamaliza. Hiki kizazi cha sasa cha taiafa letu ni kama kimeathirika na ujinga wa aina fulani.Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao??
Grants hazina malipo yoyote. Ni loans ndio zina malipo. Grants sio mkopoHiyo sio zawadi, tatizo humu wengi hatujui operation za grants na loans, mkuu hiyo hela inalipwa na nchi baadae, Tunachezewa vya kutosha
Misaada ya bure ndiyo imeanza kuja sasa hivi? Mimi nilidhani taifa letu lingetakiwa kufanya msako wa watu matapeli kama wewe, unamjifanya kuwa ni mabingwa wa dawa mbadala kumbe mnapiga fedha za maskini wasio na uwezo.Huo utakuw amchele wa virutubisho wakuongeza hormone za kike wakila watoto wetu wawe mashoga kazi kwenu Wa-Tanzania munaopenda Misaada ya bure itawaponza sana .
Onyesha ushahidiKuna yule Kijana wa kiume kabadili Jinsia kabisa 🐼
Pole sana. Enzi za mwalimu unazileta now!!!!Mkuu Yoda . Hii siyo mara ya kwanza kwa misaada ya chakula kutoka Marekani kwa shule zetu. Kipindi cha mwalim Nyerere hii misaada ilikuwa ni kitu cha kawaida kabisa. Walikuwa wanalisha shule nyingi mkoani Kilimanjaro. Walikuwa wanaleta misaada ya mafuta ya karanga, unga wa ugali, ule wa njano na kitu kilichoitwa shayiri (nafaka kama mchele). Pia walikuwa wanatoa maziwa ya unga. Kama ni mbinu chafu, kizazi cha sasa hivi chenye umri wa kuanzia miaka 50 mkoani Kilimanjaro kingedhurika vibaya sana. Nasema hivi kwa sababu kaka na dada zangu wamevitumia hivi vitu wakati wako shule za msingi mpaka wakamaliza. Hiki kizazi cha sasa cha taiafa letu ni kama kimeathirika na ujinga wa aina fulani.
Wewe ulidhani kuna vya bure? Huoni kwamba ndiyo maana tunataka ufafanuzi wa ile saa ya sh milioni mia moja anayovaa binti Kidawa? Kama alipewa, alipewa kwa masharti gani? Na kama alinunua, fedha alipata wapi?Marekani haitoagi kitu bure. Nilishawahi kupata dili ya ku-supply vitu kwenye taasisi iliyokuwa inafadhiliwa na USAID nikashangaa moja ya masharti hivyo vitu viwe MADE IN USA na walivyo washenzi wakaelekeza hadi makampuni ya kununulia huko America. Yaani kwa hesabu za haraka ni kuwa hela yote waliyolipa ilikuwa imerudi kwa watu wao kijanja. Huo msaada wapeleke kwenye nchi zenye shida kama DRC.
Pendeleeni kupewa misaada itawaponza sana iko siku wanaotoa misaada nao watataka na nyinyi muwalipe fadhila sijuwi mutawalipa kitu gani? Ukizoea kusaidiwa ipo siku itabidi ulipe fadhila je utalipa kitu gani? jiulize halafu upate jibu.Misaada ya bure ndiyo imeanza kuja sasa hivi? Mimi nilidhani taifa letu lingetakiwa kufanya msako wa watu matapeli kama wewe, unamjifanya kuwa ni mabingwa wa dawa mbadala kumbe mnapiga fedha za maskini wasio na uwezo.