Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

SIzani Kama Jamaa ana masege huyu Watakuwa Wameshayatoa kwenye Gari Yake Kwa hiyo Anaona bora Na wengine Watolewe masege kama Yeye.
 
Huo utakuwa mchele wa virutubisho vya kuongeza Hormone za kike wakila watoto wetu wawe mashoga kazi kwenu Wa-Tanzania munaopenda Misaada ya bure itawaponza sana.
 
imani na fikra potofu juu ya jambo fulani hususan lililopo kwenye public domain hivi sasa, ni mzigo mzito, uraibu mbaya sana na utumwa ambao saa zingine nadhani ndio unachangia pakubwa vijana wadogo tu, kuota mvi na hawajaoa na wala hawana watoto, wala laplot na umri unasonga na bado wanaishi kwa wazaza......

chanzo kikubwa ni imani potofu ya kuamini na kudhani kwamba kuna maisha mengine zaidi ya haya wanayoishi sasa 😎
 
Wamarekani wana tetea ushoga na mashoga waarabu wanapinga ushoga na kutetea ubasha lakini waisiharamu wanamuona muarabu ni mwema very stupiid people...fulishii
 
Mkuu Yoda . Hii siyo mara ya kwanza kwa misaada ya chakula kutoka Marekani kwa shule zetu. Kipindi cha mwalim Nyerere hii misaada ilikuwa ni kitu cha kawaida kabisa. Walikuwa wanalisha shule nyingi mkoani Kilimanjaro. Walikuwa wanaleta misaada ya mafuta ya karanga, unga wa ugali, ule wa njano na kitu kilichoitwa shayiri (nafaka kama mchele). Pia walikuwa wanatoa maziwa ya unga. Kama ni mbinu chafu, kizazi cha sasa hivi chenye umri wa kuanzia miaka 50 mkoani Kilimanjaro kingedhurika vibaya sana. Nasema hivi kwa sababu kaka na dada zangu wamevitumia hivi vitu wakati wako shule za msingi mpaka wakamaliza. Hiki kizazi cha sasa cha taiafa letu ni kama kimeathirika na ujinga wa aina fulani.
 
Marekani haitoagi kitu bure. Nilishawahi kupata dili ya ku-supply vitu kwenye taasisi iliyokuwa inafadhiliwa na USAID nikashangaa moja ya masharti hivyo vitu viwe MADE IN USA na walivyo washenzi wakaelekeza hadi makampuni ya kununulia huko America. Yaani kwa hesabu za haraka ni kuwa hela yote waliyolipa ilikuwa imerudi kwa watu wao kijanja. Huo msaada wapeleke kwenye nchi zenye shida kama DRC.
 
Hiyo sio zawadi, tatizo humu wengi hatujui operation za grants na loans, mkuu hiyo hela inalipwa na nchi baadae, Tunachezewa vya kutosha
Grants hazina malipo yoyote. Ni loans ndio zina malipo. Grants sio mkopo
 
Huo utakuw amchele wa virutubisho wakuongeza hormone za kike wakila watoto wetu wawe mashoga kazi kwenu Wa-Tanzania munaopenda Misaada ya bure itawaponza sana .
Misaada ya bure ndiyo imeanza kuja sasa hivi? Mimi nilidhani taifa letu lingetakiwa kufanya msako wa watu matapeli kama wewe, unamjifanya kuwa ni mabingwa wa dawa mbadala kumbe mnapiga fedha za maskini wasio na uwezo.
 
Pole sana. Enzi za mwalimu unazileta now!!!!
 
Wewe ulidhani kuna vya bure? Huoni kwamba ndiyo maana tunataka ufafanuzi wa ile saa ya sh milioni mia moja anayovaa binti Kidawa? Kama alipewa, alipewa kwa masharti gani? Na kama alinunua, fedha alipata wapi?
 
Hata kupewa msaada tu wachakula bila kujalisha mashaka ya kilichomo ndani ni ujuha pia. Kwa nchi ambayo inarasilimali ardhi yenye rutuba, na raslimali watu wa kutosha, Cha msingi selikali iongoze jitihada kuwezesha kilimo Cha umwagiliaji Ili kilimo kiwe Cha uhakika na tutazalusha mpaka na ziada.

Kuhusu virutubisho ilitakiwa wapewe nchi kama Kongo sudani na nchi zingine walioko kwenye vita,kwasababu hawapati mda wa kuzalisha.

Kingine tuifundishe jamii yetu kufanya kazi Kwa bidii na kujituma kufa kupona kuhakikisha tunazalisha mpaka na ziada.

✍️ Kwa wajuzi wa mambo ,he mpango wa Bashe ,waziri wa kilimo na vijana waliopewa mashamba ya selikali ,dhamira,maono Yao ni yapi? Na wako hatua Gani?
 
Hivyo virutubisho wapeleke somalia na Sudan kuna watoto wengi Sana kule wanao kufa kwa utapia mlo na njaa, Watanzania hawahitaji msaada wa chakula
 
Misaada ya bure ndiyo imeanza kuja sasa hivi? Mimi nilidhani taifa letu lingetakiwa kufanya msako wa watu matapeli kama wewe, unamjifanya kuwa ni mabingwa wa dawa mbadala kumbe mnapiga fedha za maskini wasio na uwezo.
Pendeleeni kupewa misaada itawaponza sana iko siku wanaotoa misaada nao watataka na nyinyi muwalipe fadhila sijuwi mutawalipa kitu gani? Ukizoea kusaidiwa ipo siku itabidi ulipe fadhila je utalipa kitu gani? jiulize halafu upate jibu.
 
Sicm na viongozi wake dhoofu wanatudhalilisha sana iweje Dodoma makao makuu watoto walie njaa mpaka marekani wasikie?

Huyo bashe na wizara yake walikuwa wapi kuwapa huo Mchele iwapo nchini tuna Mchele mwingi?
Propaganda za kipuuzi zinafanya tuonekane wapumbafu nchi hii inawasomi weengi wataalamu wa dawa na chakula wapime chakula kama hakifai kichomwe moto that's all!

Huwa tunaagiza vyakula vingi saana Leo kulalamikia tuu Mchele ni uzwazwa wahali ya juu!! Huwa tunaagiza sukari, ngano, tambi, dawa, vinywaji kama nikupandikiziwa ushoga mishoga ingeshajaa kilakonaa.
Watu weusi tunashida saaana ila watizii tunanyongeza yetu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…