Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

Kwani cocastic wee una maoni gani hapa....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
""Nadhani hakuna taifa lina watu wengi wanaopenda sifa za kipuuzi na kushadadia mambo ya kijinga kama Tanzania"""
 
..kuna Watz wengi hawapati mlo wa kutosha, au mlo kamili.

..Ni kweli hakuna wananchi wanaokufa njaa lakini ni ukweli uliowazi kwamba kuna tatizo la lishe kwa Watz waliowengi.
Quoting from Shabani Roberts kwenye kusadikika... Mtu yeyote anayeyapa mgongo mashaka yanayostahili kushindwa kama kuishinda njaa kwa kilimo etc ni duni sana kuliko mnyama au mdudu... Kwa nini kuwe na tatizo la lishe kwenye ardhi nzuri ya rutba kama Tanzania. Au unafikiri TZ ni nchi ya kusadikika kama alivyosema mwandishi Shabani Roberts?
 

Kwani wakwetu hauna virurubisho.
 
Warudishiwe kama hatuna shida ya njaa TZ. Mbona watu wanapenda vya bure?
 
Ninakujua wewe ni mtetezi wa mashoga
 
Wewe uoni kuwa mashoga yameongezeka kuliko miaka hiyo? Yawezekana aliyekula leo asiwe shoga ila watoto wake wakawa mashoga.Swali, kwanini tupewe msaada ili hali tuna chakula cha kutosha nchini?
 
Kwa wakati ule ni sawa lkn sasa tunacho chakula cha kutosha nchini hakuna sababu ya kuletewa hayo mavirutubisho.Hayo maziwa ya wakati ule wala usiyasifie wajuaje pengine ndio maana magonjwa ya kansa yanaongezeka kwa kasi sikuizi.Ndugu yangu, kwa sasa kula chakula ulicho na uhakika nacho.
 
Hawa majuha wapo wengi sana. Marekeani ndio inaongoza kwa wananchi wake kula vyakula visivyo na virutubisho lakini eti leo inawasaidia watanzania chakula cha virutubisho huu si zaidi ya usanii?
Acha uongo kabisa mkuu.
 
Hawa majuha wapo wengi sana. Marekeani ndio inaongoza kwa wananchi wake kula vyakula visivyo na virutubisho lakini eti leo inawasaidia watanzania chakula cha virutubisho huu si zaidi ya usanii?
When did the US start fortifying foods?



1920s

In the 1920s, food fortification emerged as a strategy in the United States to address and prevent the lack of micronutrients in the population's diet.

 
Yaani bado hujui umuhimu wa fortified, kuwa hata chumvi ya mezani imekuwa fortified kwa kuweka Iodine kupambana na Goitre. Hujui kuwa unga wa mahindi na ngano kutoka Azama, Azania na makampuni mengine umekuwa fortified kwa kuongeza madini na vitamini, ni wanafanya hivi kwa mujibu wa sheria halali za nchi yetu kuweza kukabiliana na upungufu wa virutubisho?. Hujui kuwa forification imeanza zaidi ya miaka 100 iliyopita?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…