No mara yangu ya kwanza kusikia kuhusu mchele wenye virutubisho!Huu mchele ukaguliwe kama unafaa wapewe watu wale
Huko kwao wanautumia?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No mara yangu ya kwanza kusikia kuhusu mchele wenye virutubisho!Huu mchele ukaguliwe kama unafaa wapewe watu wale
Vyakula bei juuKwani tuna upungufu wa chakula?
Sasa unataka watto wa wenzio wageuzwe upinde we unakubali mwanao ale uo mchele tuanze kuleta kilo 20 apo nyumbaniDepopulation ingeweza kuwapunguza watu kama nyie ingekuwa jambo jema sana
waziri Bashe kasema hatuutaki huo Mchele. hiyo NGO iwasaidie wakulima wa Tz na hivyo virutubisho tuviweke wenyeweKwani hawa wamarekani wamekurupuka tu na kutoa msaada bila ya makubaliano na serikali yetu?
Hata Jesus Lord&Savior mliletewa na hao hao wazungu, leo hii hawawezi kuwa wabaya hivyo kutaka kuwamaliza.waziri Bashe kasema hatuutaki huo Mchele. hiyo NGO iwasaidie wakulima wa Tz na hivyo virutubisho tuviweke wenyewe
JESUS IS LORD&SAVIOR
Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao?
Pia soma Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID
Hiyo misaada ya kihuni ndo hatutaki. Kama mtu unampa hela mwache aamue mwenyewe ataitumiaje. Unanipa hela halafu hapohapo unalazimisha nije ninunue kwako kwa bei za kufuru ni uhuni.Hii ni akili ya kawaida tu. Hata hutakiwi kuwa na cheti cha darasa la saba. Tanzania mnatoa msaada kwa Rwanda. Mnawapa pesa wakanunue bidhaa za Kenya na ninyi mna viwanda vinazalisha bidhaa hiyo hiyo ? MTAKUWA HAMNA AKILI. NI WAPUMBAVU MPAKA MWISHO.
GMO Products sio tatizo, unafikiria wabongo wanaoenda huku Marekani huwa wanauliza mahindi, chips, burgers na pizza wanazokula kama ni GMO au sio GMO??Tatizo ni GMO Products....Bashe katoa muongozo kwamba hivyo virutubisho waviweke kwenye mchele na mahindi yetu na si hayo waliyotoka nayo USA.
Anayesema hivi kila kitu chake kinategemea msaada. Chanjo za Corona mlitengeneza wenyewe? Na ninyi mlivyo wezi. Zile train mmeenda kununua mbovu za miaka ya 70 huko. Karne hii? Halafu ndo mpewe pesa mje tugawane? Hamna kitu hapo. Akili zenyewe hamna.Hiyo misaada ya kihuni ndo hatutaki. Kama mtu unampa hela mwache aamue mwenyewe ataitumiaje. Unanipa hela halafu hapohapo unalazimisha nije ninunue kwako kwa bei za kufuru ni uhuni.
We kiraza soma uelewe ujaelewa nilicho maanisha unakurupuka..stupidiiUarabu na uisilamu unaingilianaje??
Kwa waarabu kutetea ubahasha kunahusianaje na uislamu??
Jinga wewe .
huo ni ujuha maana hata marekani sio wote wanapenda ushogaMaoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao?
Pia soma Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID
Botha Kaburu yule South Africa, alishasema, Mtu mweusi akili yote ipo kwenye ngono; si unaona hapo, kila mtu anaamini hata wenye elimu! Hawezi kuua kwa nini!Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao?
Pia soma Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID
Kwani mkuu tatizo liko wapi ukaenda ubalozini Kwa Marekani ukawaambia wakupe japo nusu tani ukala na familia yako bila sie.Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.