Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quoting from Shabani Roberts kwenye kusadikika... Mtu yeyote anayeyapa mgongo mashaka yanayostahili kushindwa kama kuishinda njaa kwa kilimo etc ni duni sana kuliko mnyama au mdudu... Kwa nini kuwe na tatizo la lishe kwenye ardhi nzuri ya rutba kama Tanzania. Au unafikiri TZ ni nchi ya kusadikika kama alivyosema mwandishi Shabani Roberts?..kuna Watz wengi hawapati mlo wa kutosha, au mlo kamili.
..Ni kweli hakuna wananchi wanaokufa njaa lakini ni ukweli uliowazi kwamba kuna tatizo la lishe kwa Watz waliowengi.
Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao?
Pia soma Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID
Warudishiwe kama hatuna shida ya njaa TZ. Mbona watu wanapenda vya bure?Nilivyoelewa Kwa maelezo ya waziri Bashe, serikali haikuomba Msaada wa chakula Maana chakula kipo ila Kuna NGO iliyohusika. Nadhan serikali imefanya vzr Katika hili. Kama haukua Msaada wa direct kutoka USA govt to tz sidhan Kama kulikua na masharti ya Msaada, kama yapo Basi tujajue na Kama hayapo basi vyakula hvyo vifanyiwe uchunguzi wa kutosha Kama Vina madhara vitupwe na Kama Havina vigawiwe Kwa Watu. Tusiongeze tension kwenye jambo dogo lakini linagusa mashirikiano
Hakuna swali hapoHujajibu swali.
Ninakujua wewe ni mtetezi wa mashogaMaoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao?
Pia soma Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID
Wewe uoni kuwa mashoga yameongezeka kuliko miaka hiyo? Yawezekana aliyekula leo asiwe shoga ila watoto wake wakawa mashoga.Swali, kwanini tupewe msaada ili hali tuna chakula cha kutosha nchini?Kama hao mabeberu wangetaka kuwageuza mashoga basi ile njaa ya 1984 wangeanza kuwageuza wazazi wenu wawe mashoga maana walikuwa wakigombea hizo burga na unga wa Yanga kutoka kwa hao wamarekani ili wasife njaa ili nyie mnaorefusha midomo yenu hivi sasa mzaliwe.Na hizo burga miaka hiyo zilisambazwa kwenye mashule mengi kila kona ya nchi, mbona hao wanafunzi hawakugeuka mshoga_?
Kwa wakati ule ni sawa lkn sasa tunacho chakula cha kutosha nchini hakuna sababu ya kuletewa hayo mavirutubisho.Hayo maziwa ya wakati ule wala usiyasifie wajuaje pengine ndio maana magonjwa ya kansa yanaongezeka kwa kasi sikuizi.Ndugu yangu, kwa sasa kula chakula ulicho na uhakika nacho.Mkuu Yoda . Hii siyo mara ya kwanza kwa misaada ya chakula kutoka Marekani kwa shule zetu. Kipindi cha mwalim Nyerere hii misaada ilikuwa ni kitu cha kawaida kabisa. Walikuwa wanalisha shule nyingi mkoani Kilimanjaro. Walikuwa wanaleta misaada ya mafuta ya karanga, unga wa ugali, ule wa njano na kitu kilichoitwa shayiri (nafaka kama mchele). Pia walikuwa wanatoa maziwa ya unga. Kama ni mbinu chafu, kizazi cha sasa hivi chenye umri wa kuanzia miaka 50 mkoani Kilimanjaro kingedhurika vibaya sana. Nasema hivi kwa sababu kaka na dada zangu wamevitumia hivi vitu wakati wako shule za msingi mpaka wakamaliza. Hiki kizazi cha sasa cha taiafa letu ni kama kimeathirika na ujinga wa aina fulani.
Acha uongo kabisa mkuu.Hawa majuha wapo wengi sana. Marekeani ndio inaongoza kwa wananchi wake kula vyakula visivyo na virutubisho lakini eti leo inawasaidia watanzania chakula cha virutubisho huu si zaidi ya usanii?
When did the US start fortifying foods?Hawa majuha wapo wengi sana. Marekeani ndio inaongoza kwa wananchi wake kula vyakula visivyo na virutubisho lakini eti leo inawasaidia watanzania chakula cha virutubisho huu si zaidi ya usanii?
Yaani bado hujui umuhimu wa fortified, kuwa hata chumvi ya mezani imekuwa fortified kwa kuweka Iodine kupambana na Goitre. Hujui kuwa unga wa mahindi na ngano kutoka Azama, Azania na makampuni mengine umekuwa fortified kwa kuongeza madini na vitamini, ni wanafanya hivi kwa mujibu wa sheria halali za nchi yetu kuweza kukabiliana na upungufu wa virutubisho?. Hujui kuwa forification imeanza zaidi ya miaka 100 iliyopita?Kwa wakati ule ni sawa lkn sasa tunacho chakula cha kutosha nchini hakuna sababu ya kuletewa hayo mavirutubisho.Hayo maziwa ya wakati ule wala usiyasifie wajuaje pengine ndio maana magonjwa ya kansa yanaongezeka kwa kasi sikuizi.Ndugu yangu, kwa sasa kula chakula ulicho na uhakika nacho.