Ugomvi wa Manji na Rais Kagame utaifanya Yanga isishirii tena Kagame Cup kama kumkomoa

Hivi umesahau kama mashindano ya mwaka 2013 ambao yalifanyika kule sudan kusini timu za tz zilizuiliwa na serikali kwa sababu ya machafuko!!!!

Umesahau kama mwaka jana yanga walitaka kupeleka vijana lakin musonye akagoma na kuwapa ushiriki azama?!!!!
 
Hii habari inashaka, pamoja na udhaifu wa Yanga kwenye maamuzi lakini hili sikubali.

Tusubiri kauli ya mmiliki wake.
 

rudia kusoma ulichoandika hapa ujione ulivyo popo
 
rudia kusoma ulichoandika hapa ujione ulivyo popo

Hapo nilichokosea ni somalia badala ya sudani kusini,kitu ambacho hakibadili content...kama kuna nilichokosea kingine ni typing error...labda uniambie ww kingine nilichokosea mi sijakiona
 
Hapo nilichokosea ni somalia badala ya sudani kusini,kitu ambacho hakibadili content...kama kuna nilichokosea kingine ni typing error...labda uniambie ww kingine nilichokosea mi sijakiona

una high level ya hypocrisy nas unnecessary arrogance.....u don deserve learned conversations
 

1.hili jina lako la chizi maarifa linaendana na ulichokiandika.

2.huo ugomvi wa manji na kagame hujasema ulisababishwa na nini?

3.msimu wa 2013/2014 yanga na simba zilitakiwa kushiriki mashindano haya nchini sudan, je ni manji aliyewakataza wasiende??

4.msimu wa 2014/2015 yanga iliandaa timu ya kushiriki kagame, je ni nanji aliyewakataza?

5.kama ikitokea yanga kutoshoriki mashindano haya mwaka huu, sio kwa sababu ya manji bali ni kwa sababu ya mambo yaliyo nje ya uwezo wa yanga kama ilivyokuwa kwa misimu 2 iliyopita.

6.siku nyingine unapotoa habari uwe na uhakika wa habari yako.
 
Freeland mi nlishaacha kumwelewesha yahoo ana ubongo wa ndege. yeye huwa hawezi ufikiria au kureason ni kwamba akishaambiwa akariri jambo flan basi ataliimba hilo hilo kama kasuku otherwise huwa si mwelewa. na mbaya ni kuwa anadhan yeye ndo yanga zaidi y watu wenye uelewa wao. achana naye utapoteza muda kutaka kumwelewesha... ukishindana naye atakushinda maana yeye ana uzoefu.
 
Last edited by a moderator:
Soma quotes zako nyuma uone kama hukuwa unatukana

sio soma ....nioneshe wapi nimetukana.........mimi siko hivo mkuu....show me wapi nimetukana

Uwe na utamaduni wa kuvumiliana hata kama umezidiwa hoja na huna cha kusema

Matusi ni Utaratibu wa Banana Republic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…