Ugomvi wa Manji na Rais Kagame utaifanya Yanga isishirii tena Kagame Cup kama kumkomoa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Huu ugomvi wa Yanga na Kagame ulianza mwaka 2012 Mara baada ya Yanga kwa nguvu kubwa kushinda Kagame Cup ili Yanga ipate nafasi ya kwenda kuonana na Kagame... toka mwaka huo baada ya kutoelewana naye Yanga haijashiriki Kagame Cup kwa visingizio lukuki kila mara linapokuwepo Kombe la Kagame ili kumkomoa kutokana na kilichotokea huko ambacho ni dhahiri hakikuwa na manufaa kwa Yanga au hawakuwa na kukubaliana. na mwaka huu haitashiriki tena ili kumkomoa Kagame na kombe lililopewa jina lake. ni aina fulani tu ya siasa ambayo inarudisha nyuma mpira wetu kwa sababu ambazo ni binafsi za mtu mmoja. ningewashauri yanga washiriki kombe hili ili kujipa mazoezi na kujipima wakijiandaa na mashindano ya kimataifa hapo mbeleni.
 
manji anaweza kutishana na rais wenu dhaifu sio kagame yeye achekicheki ovyo na watu kama manji
 
Na nyie yanga mlishatuchosha, na timu yenu ingekuwa kama barca, cjui ingekuwaje? kwani mnajifanya kama vile ni timu kubwa, kwa ukongwe sawa, timu imekuwa kama chama cha siasa, mala msipotupa sehemu ya kujenga uwanja, mwaka huu tutawaambia watu wasiichague CCM!!! Liliishia wapi? mala wachezaji wetu wanaitaji mapumziko, hivyo hawaendi south!! kwa mechi gani mlizocheza?? watu wanacheza mechi takribani mechi 50, kwa msimu, nyie hizo 30,ishakuwa nongwa.
 
msilete uongo hata mada yenyewe haijafafanua ugomvi upi usitake kukwepesha yale matusi ya musonye kwa taifa yanga.
ila safari hii sidhani kama yanga atashiriki kwa sababu ya uchaguzi wa yanga mwezi julay
 
Jina lenyewe CHIZI MAARIFA!!!!Mpaka hapo nimemaliza..
 
Muanzisha mada acha story za kutunga bwana...hakuna mwaka yanga iligomea kushiriki kagame...tangu yanga ichukue ubingwa wa kagame ilishindikana kushiriki kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao..mfano kunawakati kombe lilifanyika somalia selikali ikaizuia kushiriki kutokana na usalama..msomu uliofata yanga ikazuiliwa na tff kutokana na kutaka kupeleka kikosi cha vijana na nafasi yao akapewa azam.....kama huna cha kupost ingia bafuni upige nyet.o
 
hujui unachokisema yahoo. ni kwa vile uelewa wako umeisha kama jinsi ambavyo umedhihirisha maana ndicho kitu pekee unachoona ni bora katika uelewa wako. toka Yanga ilipochukua ubingwa mara ya mwisho na kwenda Rwanda kwa kagame kilichotokea huko imekuwa na kawaida ya kutafuta excuse za kutokushiriki. na na kwambia as long as mwenyekiti huyu yupo madarakani yanga haitashiriki mashindano ya kagame na mwaka huu haitashiriki tena na excuse zitatafutwa na kwa kuwa wanayanga wengi uelewa mdogo kama wewe basi utakuja hapa na utetezi kama huo.. sasa usiatake kututukanisha wanayanga kuwa sisi ni wapiga punyeto na ndo maana huwa tunakuwa vile kwa mwenyekiti kama zile picha tumempigia magoti tunamwmba .tunamshihi,tunamwabudu asikie maombi yetu.
 
Chizi Maarifa

Kama wewe ni mwana yanga basi utakuwa na chuki binafsi na manji....ule mwaka ambao waziri alikataa yanga nafkir ilikuwa na simba wasiende somalia,manji alihusika vp kutoa amri....na kama kweli ilikuwa sababu ya kutokwenda ni mgomo basi na simba waligoma na je rage alikuwa na ugomvi na kagame....jibu swali
 
Last edited by a moderator:
Muanzisha mada acha story za kutunga bwana...hakuna mwaka yanga iligomea kushiriki kagame...tangu yanga ichukue ubingwa wa kagame ilishindikana kushiriki kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao..mfano kunawakati kombe lilifanyika somalia selikali ikaizuia kushiriki kutokana na usalama..msomu uliofata yanga ikazuiliwa na tff kutokana na kutaka kupeleka kikosi cha vijana na nafasi yao akapewa azam.....kama huna cha kupost ingia bafuni upige nyet.o

Mkuu umefafanua vizuri sana, ila tu hapo kwenye red. 'Ikazuiliwa na CECAFA' siyo TFF.
 
Muanzisha mada acha story za kutunga bwana...hakuna mwaka yanga iligomea kushiriki kagame...tangu yanga ichukue ubingwa wa kagame ilishindikana kushiriki kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao..mfano kunawakati kombe lilifanyika somalia selikali ikaizuia kushiriki kutokana na usalama..msomu uliofata yanga ikazuiliwa na tff kutokana na kutaka kupeleka kikosi cha vijana na nafasi yao akapewa azam.....kama huna cha kupost ingia bafuni upige nyet.o

Huyo jamaa atakuwa wale jamaa manunda. Kwa ufahamu wangu, Yanga wana uhusiano mzuri sana na Rais Kagame.

Tatizo lipo kwa msaka tonge Musonye. Haitaki Yanga lakini anajua ni mtambo wa kutengeneza fedha kwa CECAFA.
 
Huu ugomvi wa Yanga na Kagame ulianza mwaka 2012 Mara baada ya Yanga kwa nguvu kubwa kushinda Kagame Cup ili Yanga ipate nafasi ya kwenda kuonana na Kagame... toka mwaka huo baada ya kutoelewana naye Yanga haijashiriki Kagame Cup kwa visingizio lukuki kila mara linapokuwepo Kombe la Kagame ili kumkomoa kutokana na kilichotokea huko ambacho ni dhahiri hakikuwa na manufaa kwa Yanga au hawakuwa na kukubaliana. na mwaka huu haitashiriki tena ili kumkomoa Kagame na kombe lililopewa jina lake. ni aina fulani tu ya siasa ambayo inarudisha nyuma mpira wetu kwa sababu ambazo ni binafsi za mtu mmoja. ningewashauri yanga washiriki kombe hili ili kujipa mazoezi na kujipima wakijiandaa na mashindano ya kimataifa hapo mbeleni.

Huko kutoolewana kwa Yanga na Kagame ni hisia zako tu. Kagame anajulikama ni shabiki wa Yanga na wala hana ugomvi na Manji.
 
Back
Top Bottom