Ugomvi wa Nancy Sumari Vs Nakaaya: Majibu kwa Mange

Wewe umejuaje kuna comments hajaachia?I smell something

She said .... Pia wapo watu wamelalamika kubaniwa comments kwa kudai zililenga kureveal d real pic ya Nancy.

Kuhusu kusmell something: since u have d well working nose u r free 2 smell and swallow whatever u see around... U hearddddddd (in Luca's voice)
 
Msipate shida list hii hapa.... Wengine sikiwajua kabisa. Kumbe walishea dyudyu na millen

Hili gazeti la leo tamu

Mjini sihami

Kumbe happiness magese alimegwa na mr machozi hahahahahah

Yaani imewaanika wadada wa mujini true colours zao kudadadekriiii
 
Mmewahi kusikia case inasikizwa upande mmoja?
Siwezi kusema izonni true colours za wadada wa mjini bali ni yeye alivo na xperience nao na anavowaona.
 
Hehehehehe ile style ya presentation naona itachochea moto
 

Kunywa sodaaa...
 
Last edited by a moderator:
Hehehehehe ile style ya presentation naona itachochea moto

Rujiandae na kupata maubuyu ya kila aina....

Ku a wataoponda insta

Sipati picha bedui atakavyoraruka leo

Kuna watakaoanza upya bifu

Hahahah

Hakuna kuhama mjini
 

Duuh hatareee!!
Nahisi mange atakuwa hata na list ya michepuko ya makinda! Lol
 
Utu ni bora kuliko kitu. Wanaadamu tukumbuke kila lenye mwanzo halikosi mwisho, ipo siku watu wanaomsapoti watamcheka. Sie yetu macho japo tunaonekana haters!

Hivi uwe hater wa mange kwa kipi labda? Mwenyewe ata kujibu tunamchukia kwakua kaolewa na mzungu, sijui kwakuwa anaishi wapi sijui kusikokuwa na weusi! NONSENSE Ajue tu tulio wengi Hatupendi anayoyafanya in name of freedom of speech! Kama ni Nakaaya na Nancy ni celebrities ndo uyaseme hadi ya ndani mwao! Napenda umbea ila sijui ni kwanini kila nikisoma umbea wa Mange lazima niumie, Inahitaji roho mbayaaaaaaa na ngumu kusherehekea umbea wa huyu dada!
 

Yeye kuwa na evidence or whatever hakumpi right ya kuyasema mambo ya watu hasa family matters, kama its oky aanze na ya kwake mpaka alipokuwa anatoa tigo kwani naye si celebrity? Huku ndo Kuwa blogger ! !? Btw mmefurahia nini wenzenu kuaibishwa vile iwe kweli au sio kweli?
 

kabisa ulivyosema mi mwenyewe mbea ila mwingine ni udhalilishaji sana mie ndo maana niliacha ht kusoma blog yake
ukiona nasoma bas mara chache x
chache sana wakati mwanzo chai nanywea kwake
yetu macho sie
 

Uchaunafiki, halafuu usinitolee povu, kama unataka kukata roho, nenda kambane huko kwenye blog yake khaaa!

Sisi watazamaji tuu, kama inajifanya cybercrime act 2015 imeguswa panapo stahiki kasaidiane na familia kumshtaki.
 
Uchaunafiki, halafuu usinitolee povu, kama unataka kukata roho, nenda kambane huko kwenye blog yake khaaa!

Sisi watazamaji tuu, kama inajifanya cybercrime act 2015 imeguswa panapo stahiki kasaidiane na familia kumshtaki.

Hahahaaa mnafiki nani kati yangu na nyie, sawa acha niwe mnafiki, nimekuuliza tu mnafurahia nini wenzenu kuaibishwa vile?
 
Leo au jana nlikuwa namsikiliza Fredwa wa Clouds anasema (nadhani alikuwa anatumia certain source) kuwa huwezi kuwa na rafiki zaidi ya mmoja...labda business partners....

Nikamuuliza hubby kuna wanaume wana urafiki wa mafungu au huyu mtangazaji ana refer to wanawake....akasema wapo...

Lakini urafiki wa hivi ni wa mashaka...ni kukamatana umbea, kuibiana wanaume, kulazimika kujitutumua na kuishi maisha yasiyo ya level yako....in short ni utoto na dalili ya kukosa kazi ya kuku keep busy...wengine hata rafiki mmoja hatuna schedule ya kumu accommodate..
 

Wewe ni kama mimi.Napenda umbeya ila nikisoma wa Mange hadi najisikia vibaya sana.Ule sio umbeya ni unyanyasaji.
 
kabisa ulivyosema mi mwenyewe mbea ila mwingine ni udhalilishaji sana mie ndo maana niliacha ht kusoma blog yake
ukiona nasoma bas mara chache x
chache sana wakati mwanzo chai nanywea kwake
yetu macho sie

Mimi napenda umbeya, ila wa u turn unasononesha nafsi yangu sanaaa
 
Wewe ni kama mimi.Napenda umbeya ila nikisoma wa Mange hadi najisikia vibaya sana.Ule sio umbeya ni unyanyasaji.

Nafikiri tunashindwa kupambanua ni upi umbea na upi sio, yaani tumekuwa wanyama for the sake of umbea duuh. Mtu mwenye matatizo huwa anafarijika kuona na wenzie wanapata matatizo, only stressful people will intertain this!
 
Aaaah weye nae unasema nini?,hayakuhusu yote yaliotokea so wewe funga kundu lako bhana,maana unaharisha saaaaaana kupitia mdomo wako kefule weewee,tena inaonekana huna staha hata kufua pichu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…