Ugomvi wa Nancy Sumari Vs Nakaaya: Majibu kwa Mange

Ugomvi wa Nancy Sumari Vs Nakaaya: Majibu kwa Mange

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Nakaaya, ambae ni dada wa Nancy Sumari, amemjibu Mange kuhusiana na uzi aliouweka kwa blog yake kuhusu ndugu hawa kuwa mbuzi na chui. Uzi ule ulionekana kuelemea kwa Nancy Sumari kwani ulionesha wazi wazi kwamba yeye ndio tatizo, kwani aliiba mchumba wa dada yake na pia anamdharau dada yake kwa vile hana utajiri kama ilivyo kwa Nancy. Sasa picha hizi ni majibu ya moja kwa moja toka kwa Nakaaya kwenda kwa muke ya muzungu.

Mnasema ni mambo ya kifamilia ....ni kweli ila Nakaaya na Nancy tambueni nyie ni watu maarufu Tanzania hivyo kuandikwa kwa mema au mabaya ni lazima. Yawe ya kifamilia au kikijiji. Kugombana kupo kwa kila mtu ila namna ya kumalizana ndio swala muhimu. Muhimu jifunzeni namna ya kumaliza mambo yenu mapema kabla hayajafika kwa watu.
 

Attachments

  • 1433243372804.jpg
    1433243372804.jpg
    78.1 KB · Views: 3,998
  • 1433243394497.jpg
    1433243394497.jpg
    75 KB · Views: 3,820
Eeeh akome shuti matatizo hata ya familia yake yaliomkuta mwaka huu hakuweka wazi anakimbilia ya watu na haswa anamleta Lowassa ili amchafue January. Kumekucha mwenzenu anasaka kujulikana, haya tusubiri kesho atamrusha nani. Kuna siku ataona anagongewa mlango na Wabongo mbona atajuta
 
Kwani Mrembo by Nature, unajuaje kuwa mambo yao hayakumalizwa before kufikia kwa Mange.
Mange anapenda kupata ujiko kupitia maisha ya watu
Kimbelembele koma, amemkuta Nakaaya mstaarabu sana.
Naamini sasa kuwa Mange anatamani maisha ya Nancy na rafikize.My thoughts.
 
Last edited by a moderator:
Kama wateva mange is saying ni kweli basi its just a matter of time we will know it cz mtu hawez kutoka from no where na kuwatungia ugomvi
 

Attachments

  • 1433249220324.jpg
    1433249220324.jpg
    30.8 KB · Views: 3,019
ngoja kesho au leo usiku alete gazeti hilooww kutoka mrs ya muzungu
 
mzurimie
Yani huyu Mange ni donda baya sana. She was supposed to be neutral, na angekuwa akielezea mawazo yake bila kuonyesha chembe ya chuki na maneno makali. Kaah she is way too much. Yani yeye anachoweza kusifia ni kimoja tuuu, Wema Sepetu. Yani hata Wema afanye ubaya gani.

Alivokuwa anasakizia kuwa Wema anatoka na Ivan alifurahi sana akampamba na kumsifu. Alipokuja kujua sio kweli bali ni Chagga barbie akamponda sana Ivan na Chagga eti pesa za Ivan ni za madawa. Hakuliona hilo alipokua anaropoka kwa Wema. Mange anabase conclusion zake bila research ya kutosha na that's a bad thing.

She should stop being personal, simkatazi kupost chochote ila apunguze mihemko na hisia. Blog inakosa credibility kwa mtindo huo.
Umbea naupenda ila wa Mange una pilipili.
 
Last edited by a moderator:
Ms.Lincoln Aagh na sasa hivi atamponda mkaka sijui wa nchi gani aliyeoa na wema na timu yake wamekaa wanatunga maneno kusema amesifia kuliko wanawake wote duniani...kuna mambo.

Kweli mange chuki za ubinafsi ndio tatizo, ila duh sijui akimakizaga kuandika anajipa shahada au analia maana lazima anajijua ualosto na anatafuta kuoendwa na hapendeki alivyotaka.
 
Last edited by a moderator:
mi nimependa nakaaya alivyomjibu nancy kwa kweli hekma na busara zimetumika mpk raha yani
iwe kweli iwe uongo...kua public fugure si kigezo cha kuweka mambo yenu nje labda km mmeamua kuyaanika wenyewe kwa watu!!

alichokifanya mange kwetu sisi tunaweza kumpa hongera but just try to wear viatu vya familia ya kina sumari and bad enough akaruhusu comments za kuwa chafua km vile
do u think its fair...
 
Kama wateva mange is saying ni kweli basi its just a matter of time we will know it cz mtu hawez kutoka from no where na kuwatungia ugomvi

Unasema hawezi akatoa mambo from nowhere? So Mange huwa anatoa taarifa wapi? Kutoka kwa wahusika wenyewe? Ivi huyo alotoa hiyo comment haoni aibu? Nakaaya anataka haya mambo yabaki kwenye familia, kwani ni lazima Mange ayakomalie? Namna hiyo anajenga au anabomoa?

So huyo mchangiaji anaona magazeti ya Mange ni kiboko kwa kuumbua na kuaibisha watu, kumbe magazeti ya Mange ni ya kipuuzi kabisa.
 
mzurimie
Mange alishawahi kudharaulika sana na kuchekwa udogoni. Mwenyewe ashawahi kusema kwa mwandishi wa habari kuwa alinyanyasika sana kwa mama yake mdogo hadi akawa mtu wa hasira na akawa wa kuwaonea wenzie shuleni.

Hata yeye kuolewa na mzungu ni katika kuwaonyesha watu wote walowahi kumdharau kuwa she is prosperous and that they were wrong. Kihisia akiumiza wengine anafeel powerful na anajiona amepata relief. Nadhani wataalamu wa saikolojia wanaweza kuelezea hii syndrome kitaalamu zaidi.
 
Last edited by a moderator:
geniveros
My point ni kwamba kama wewe ni celeb na watu wakabahatika kujua ur inner secrets, then lazima yatajadiliwa tu unlike mimi ambe ni unknown.

Ni lazima wawe na njia tofauti na ile ya mazoea ya kuhandle ishu zao zisitufikie walalahoi tukazijadili. Mfano, mama diamond alilazwa TMJ zaidi ya mwezi ila kuepuka ishu za kifamilia kuwa nje walificha mwanzo mwisho (ndio ugonjwa ni siri ya family) ... Na kweli wachache walijua. Ndo maana umakini unahitajika.
 
Last edited by a moderator:
geniveros
Its not fair kabisa. Pia Mange hana uhakika kuwa wale ndugu hawakupatana au walipatana. Kuna mchangiaji alimwambia walipatana ila hawakuwa kama mwanzo. Alafu story yao ni one sided.

Mange angejaribu kupatana na mahasimu wake walio wengi kama team ya mpira. Katika maisha hujui utazikwa na nani.

Sio ndugu tu anaweza akawa msaada kwako. Nimeshuhudia mara kadhaa rafiki wakimsaidia mtu na kuchukuliana na shida na taabu zake kama ndugu. Hata katika kuzikana, sio ndugu tu ndio wanaokuwepo. Sisemi udugu sio muhimu, ila kuendekeza mabeef na watu kisa sio ndugu zako ni upuuzi wa hali ya juu.
 
Last edited by a moderator:
My point no kwamba kama we we ni celeb na watu wakabahatika kujua ur inner secrets then lazima yatajadiliwa tu Unlike Mimi ambe ni unknown.

Ni lazima wawe na njia tofauti na ile ya mazoea ya kuhandle ishu zao zisitufikie walalahoi tukazijadili. Mfano mama diamond alilazwa tmj zaidi ya mwezi ila kuepuka ishu za kifamilia kuwa nje walificha mwanzo mwisho (ndio ugonjwa ni siri ya family) ... Na kweli wachache walijua. Ndo maana umakini unahitajika.

nimekuelewa ila bas asingeruhusu comments mbaya mbaya kuchukuliana mabwana,sijui mme wa mtu nk kuwa hewani.

mi bwana mtu anayetoa privacy yangu nje huwaga simsamehi ht kidogo yani ndo maana sina rafiki wengi wa kike
maana mnakuja kuishia huku mwisho wake..!!
 
Unasema hawezi akatoa mambo from nowhere?
So Mange huwa anatoa taarifa wapi? Kutoka kwa wahusika wenyewe?
Ivi huyo alotoa iyo comment haoni aibu? Nakaaya anataka haya mambo yabaki kwenye familia, kwani ni lazima Mange ayakomalie? Namna hiyo anajenga au anabomoa?
So huyo mchangiaji anaona magazeti ya Mange ni kiboko kwa kuumbua na kuhaibisha watu, kumbe magazeti ya Mange ni ya kipuuzi kabisa.
Mtu akishakua celeb hamna cha mambo ya familia o wat, u just have to get used to pipo sticking their noses in your business whether ni family matters o not! My point ninaposema mange hajatoa nowhere is.. perhaps hajatunga kama katunga y dd she go for these 2!
 
Mrembo by Nature
Mimi nafikiri, duniani hamna siri kabisa, na ni kweli ukiwa celebrity lazima ujadiliwe. Mange alimframe Nancy kama katili kabisa, asiyempenda dada yake na aliyeitupa familia yake na kuthamini marafiki wenye nazo. Ndio maana hata wachangiaji nao waliflow with the same energy na rhythm.

Hapa Mange alishachoose side, akamvictimize Nakaaya. Na Nakaaya hajapendezwa. Magomvi ya familia ni kawaida sana. Mange alitaka aonekane msuluhishi na awape watu la kuongelea, mie nilikua sijui kabisa huu msuguano.

So Mange amewaumbua wenzie. Yeye alijifanya anawajua kwa ukaribu. Ni tofauti na mimi na wewe ambao hata hatuwafahamu hawa mastar in person. So Mange ni mnafiki angewatafuta personally.
 
Last edited by a moderator:
geniveros na Ms.Lincoln don't expect Mange to be fair while the world itself isn't and will never be fair. Mange did her assignment anachosubiri ni pesa kutoka Voda.... It's upon these two celebs to make up and find the way forward

Utu ni bora kuliko kitu. Wanaadamu tukumbuke kila lenye mwanzo halikosi mwisho, ipo siku watu wanaomsapoti watamcheka. Sie yetu macho japo tunaonekana haters!
 
nimekuelewa ila bas asingeruhusu comments mbaya mbaya kuchukuliana mabwana,sijui mme wa mtu nk kuwa hewani.

mi bwana mtu anayetoa privacy yangu nje huwaga simsamehi ht kidogo yani ndo maana sina rafiki wengi wa kike
maana mnakuja kuishia huku mwisho wake..!!

Mange said anawafahamu hawa watu personally, angewasiliana nao kwa njia yeyote.
Mbona mwenzie Daudi na juanitha walipotaka kuwapatanisha Wema na auntie hawakutangazia umma? Huu ni unafiki.
Gpl ingefanya ivo ingekua sawa kabisa, sio yeye anaejifanya dada.
 
Back
Top Bottom