Ugomvi wa Nape, January, Kinana dhidi ya JPM ulitokana na nini hasa?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Siasa za nchi hii zinachanganya sana, wote tunakumbuka jinsi hawa mapacha watatu walivyokuwa hawaivi chungu kimoja kabisa na Magufuli mpaka wakanaswa wakiwa wanamsengenya huku wakitengeneza waraka mzito na mpango wa kuutoa kwenye vyombo vya habari kutikisa nchi. Jambo ambalo sijawahi kuelewa hasa ni kipi kilikuwa chanzo cha ugomvi wao mkubwa hivyo dhidi ya JPM.
 
Siasa za nchi hii zinachanganya sana, wote tunakumbuka jinsi hawa mapacha watatu walivyokuwa hawaivi chungu kimoja kabisa na Magufuli mpaka wakanaswa wakiwa wanamsengenya huku wakitengeneza waraka mzito na mpango wa kuutoa kwenye vyombo vya habari kutikisa nchi. Jambo ambalo sijawahi kuelewa hasa ni kipi kilikuwa chanzo cha ugomvi wao mkubwa hivyo dhidi yake JPM.
Madaraka
 
Kwanini usingeuliza, "ugomvi wa JPM dhidi ya January, nape na kinana ulitokana na nini'?!!" Hoja Yako imekaa kiupendeleo
 
Ugomvi ulikuwa kati ya magu na hao wazee makamba senior na mzee kinana ,wazee walilalamika kudhalilishwa , january na nape walikua kama daraja la kupeleka malalamiko ya hao wazee kwenda kwa wahusika, vijana walitumika kwenye hili swala
 
Walidhalilishwaje?
 
Ni kweli, ahsante
 
Wale hawakua na ugomvi wowote sema walidukuliwa wakimsengenya kitu ambacho hata wewe Huwa unakifanya kwa bos wako
 
Walipishana mambo ya kichawi tu.
Wote hao ni walozi wa madaraka.
 
Back
Top Bottom