MadarakaSiasa za nchi hii zinachanganya sana, wote tunakumbuka jinsi hawa mapacha watatu walivyokuwa hawaivi chungu kimoja kabisa na Magufuli mpaka wakanaswa wakiwa wanamsengenya huku wakitengeneza waraka mzito na mpango wa kuutoa kwenye vyombo vya habari kutikisa nchi. Jambo ambalo sijawahi kuelewa hasa ni kipi kilikuwa chanzo cha ugomvi wao mkubwa hivyo dhidi yake JPM.
Kwa sasa wana vyeo gani hao uliowataja? 🐼Madaraka
Mfumo usingewapokeaKwa sasa wana vyeo gani hao uliowataja? 🐼
Ugomvi ulikuwa kati ya magu na hao wazee makamba senior na mzee kinana ,wazee walilalamika kudhalilishwa , january na nape walikua kama daraja la kupeleka malalamiko ya hao wazee kwenda kwa wahusika, vijana walitumika kwenye hili swalaKwanini usingeuliza, "ugomvi wa JPM dhidi ya January, nape na kinana ulitokana na nini'?!!" Hoja Yako imekaa kiupendeleo
Walidhalilishwaje?Ugomvi ulikuwa kati ya magu na hao wazee makamba senior na mzee kinana ,wazee walilalamika kudhalilishwa , january na nape walikua kama daraja la kupeleka malalamiko ya hao wazee kwenda kwa wahusika, vijana walitumika kwenye hili swala
Mwanaharakati uchwara yule alikua akiitisha press na kuwasema hawa wazee,Walidhalilishwaje?
Ni kweli, ahsanteUgomvi ulikuwa kati ya magu na hao wazee makamba senior na mzee kinana ,wazee walilalamika kudhalilishwa , january na nape walikua kama daraja la kupeleka malalamiko ya hao wazee kwenda kwa wahusika, vijana walitumika kwenye hili swala
Wakati hao hao ndio waliompa madaraka kihuni.Mwamba alibania Masilahi yao