Ugomvi wa WCB na media, Wakazi amtaka Babu Tale kutotumia dini kuficha maovu yake. Aahidi kumuanika asipo sema ukweli

Ugomvi wa WCB na media, Wakazi amtaka Babu Tale kutotumia dini kuficha maovu yake. Aahidi kumuanika asipo sema ukweli

Hapo umebadilisha lugha hujaelezea maana ya hicho kitu. Hilo neno Hata ukinitajia kwa kilugha chako utakua hujajibu swali langu zaidi utaendelea kunichanganya tu
Endelea kuchanganyikiwa
 
Wakazi ameimba wimbo gani? Miaka mingi namsikia lakini sijawahi bahatika kusikia wimbo wake.
 
Babu tale ushirikina na ulafi utammaliza.
 
Babu Tale anatembelea mizizi ya Abdu Bonge.

Yeye mwenyewe ukiachana na Ndumba na uswahili koko, hana jipya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Amemuondoaje mkewe? unao ushahidi wa kutosha juu ya dai lako, au unaleta porojo za vijiweni baada ya kunywa al kasusu?
CCM nyinyi n hovyo sana bila ndumba hamuez jiamin kabsa
 
Back
Top Bottom