Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #41
Napenda sana Bw.Mohamed Said unavyoichambua vizuri historia na kufanya msomaji kujisikia kuuvaa uhusika ... Haswa pale ulipotuelezea habari ya msiba wa shangazi yake Ally Sykes. Sipendi watu wanapokukosoa unapoandika ukweli ambao lazima ubebe uhalisia kuwa bila ya jitihada za Wana-Dar es Salaam wengi Waislam... TANU isingeweza kujipenyeza Tanganyika.
Medisonmuta,Mzee Mohamed Said hiyo historia uliyoieleza ni kama ilivyo,alivyokuwa anaelezea Zuberi Mtemvu . Mie nina undugu na ukoo wa Mtemvu kwa upande wa mama.
Ana undugu na Sitti Mtemvu?
Hili swali limenifikirisha sana. Jee yaweza kuwa kuna mahusiano ya kitabia kati ya mjukuu na babu?
Kwanini likufikirushe sana? wewe hauna mababu?