Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Joined
Jul 15, 2015
Posts
63
Reaction score
61
Hatimae urafiki wa Wema Sepetu na Munalove wafika ukingoni. Huko Instagram yazuka maneno mengi kuhusu Muna kumloga Tanzanian sweetheart ni pale Munalove alipoiba chupi ya Wema Sepetu na kuipeleka kwa mganga ndipo mganga alipotaka kafara ili kuroga huko kutimie.

Mnakumbuka ile mimba ya Munalove alokua nayo then ikapotea? Sasa basi inasadikika alizaa mtoto njiti akamkabidhi mganga na chupi ya Wema ili atengeneze dawa ya kuchukua nyota ya Wema na kumuweka Wema mkononi mwake pamoja na mama yake Wema maneno hayo ni yametolewa na baadhi ya timu Wema.

Mwenye umbea wa ukweli unaoendana na hili atujuze basi tupate kushiba.

Karibuni
 
Mjini kuna mambo?Kuhangaika kote huko eti ili amuweke wema na mama yake mkononi!
WTF?

Ninachokijua mimi ni kwamba Wema na Muna kama wamepoa hivi...na anataka (wema) kurudisha majeshi kwa mama kuki (Aunt)
Nadhani Aunt na Muna haziivi,hivyo mahaba yale ya Wema juzi kwa Aunt...
Heheeeee

Kingine Wema naona anajenga ukaribu sana kwa waliokwisha kujiweka kwa Zari (Refer China trip with Wolper,na sasa Aunt)
 
Wanamambo Hawa basi nimeona kapost insta kila MTU na mama ake kwa nn muna nae anajipendekeza kwa wamama wa watu
 
Rudi hukohuko insta ukaupate huo umbea zaidi
 
hahahaaaaa nacheka kwa dharau

nilijua tu mda wake utafika wa kupitishwa ivi na lawama kibao[muna]
mfupa ulomshinda fisi ye kibogoyo atauweza[muna]
wema habebeki ata kwa mbeleko ya chuma........huyu binti ni zaidi ya jiwe la mtoni.wolper,lulu,aunty,peny,kajala,petit,cjui batuli nikiwataja apa wote litageuka gazeti,wawe wao ndo wakosefu kila leo.hamjiulizi y yeye??

binti rudi singida ukafundwe jinsi ya kuishi na watu
 
hahaaa na aunty hataki shobo anymore cookie wake ndo alishasema ndo shoga ake hataki mazoo wasije muibia iyobo wake mana wadada wa bongo movie hawana utani na bwana wa mtu..........aunty sa hivi yupo bize analea baby na bebe mda wa bata hana.ajitulize tu mbona maisha bila mashoga inawezekana ajifunze basi kwa lulu au shishi.
 
alafu wema ndo ana act victim kwenye kila ugomvi yaan anachosha huyu mdada basi tu
 
Mwanamke una akili wewe!!Exactly!!Wema bado yuko kwenye battle na Zari ameshindwa kumrudisha bwana basi anataka awarudishe marafiki
 


Sura ya muna tu ndo sijawahi kuielewa....
Afu tuhuma za kuloga anazo sana, huenda ni kachawi kweli nini
 
Nayapenda maisha ya aunty ya sasa, yuko busy na mme na mtoto.....
 
Kwa aina hii ya vijana halafu bado unahoji kwa nini Tanzania ni nchi maskini.......... God must be crazy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…