sihitaji marafiki
Member
- Jul 15, 2015
- 63
- 61
Hatimae urafiki wa Wema Sepetu na Munalove wafika ukingoni. Huko Instagram yazuka maneno mengi kuhusu Muna kumloga Tanzanian sweetheart ni pale Munalove alipoiba chupi ya Wema Sepetu na kuipeleka kwa mganga ndipo mganga alipotaka kafara ili kuroga huko kutimie.
Mnakumbuka ile mimba ya Munalove alokua nayo then ikapotea? Sasa basi inasadikika alizaa mtoto njiti akamkabidhi mganga na chupi ya Wema ili atengeneze dawa ya kuchukua nyota ya Wema na kumuweka Wema mkononi mwake pamoja na mama yake Wema maneno hayo ni yametolewa na baadhi ya timu Wema.
Mwenye umbea wa ukweli unaoendana na hili atujuze basi tupate kushiba.
Karibuni