Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Wema ana matatizo sn jitu zima miaka 28 kufanya vitu vya kitoto hata haipendezi
 
Ana sauti nzuuuriii huyoooooo,,dadadada utafikiri imetiwa mayai na kuku mzimaaaa,,,,,,angekuwa anaiuza angepiga pesa huyoooo
 
alitukana team wema wote[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]
akawaita manyaniii!!!

kwanza hawatakiii...yani siju tu namna ya kurusga clip humu ningeweka nenda kwa milly utaikuta
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi ninyi wanawake mkiwa marafiki ni lazima kila mtu ajue mwezie chupi anazovaa au anapo ziweka au lazima mlale pamoja? Urafiki wa namna hii ndio maana wengi wenu mnagombana kila leo...
wadada wengi mpk kuoga tunaoga wote...
 
Idriss ndio kaniacha hoi na ratiba yake eti aafungia chupi na solex anaweka na finger print halafu pia ana mwambia mlinzi achunge hyo droo y chupi haahaa jana nilicheka sana
 
Tumesha wazoeya sisi tunataka kazi za sanaa sio wajitambe na kulogana sanaa bongoblmeshuka natunaowategenea wanacho jua kwasasa ni kiki za kipuuziiiii wajitambue niwasanii wanaotazamwa na watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…