Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Nganda uchwara!...mapunda ya kinondoni huyajui?

Anabeba mzigo wa bilioni tatu anapeleka China anakuja kulipwa 5 to 6 million!

Upo ziwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo nyonyooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
The best miss Tz of all time ni Mrs Mengi
 
Kwa aina hii ya vijana halafu bado unahoji kwa nini Tanzania ni nchi maskini.......... God must be crazy

CCM iliwatumia kwenye kampeni wakati ule wa uchaguzi,

baada ya uchaguzi kwisha wote tupa kule,

Sasa hawajielewi hayo ndiyo maisha waliyochagua,

wakati mwingine watajifunza kitu muda nao unawatupa mkono.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo nyonyooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Shost usinikumbushe yule mtoto....kinshankupe balaa[emoji23] [emoji23] [emoji108]
 
ukiendekeza ujinga huu lazima uisome namba zama hizi za Magu. Maana akili za namna hii zinazoandika ujinga haziwezi kufikilia maendeleo
 
Umechewa kumdharau wema,Wema alishadharauliwa zaman hadi na watoto sababu hana akir
 
tehe tehe tehe tehe kwanini huingi, yani ni kuzuri sana, haya turudi kwenye ubuyu, eti rose kawa shostito wa mama wema, hadi mama hana muda na mwanawe (wema), viwanja hadi usiku wa manane.
Kwanza Wema kamuabiasha mama ake kusema anaenda bar mpk usiku wa manane na kumsema kuwa mama ake kawa rafiki wa muna,alipaswa wema anyamaze kimya ila ni mpumbavuu
 
Sepenga anajiona yeye ni queen of the jungle anapaswa kunyeyekewa na kubembelezwa na mashost,
hao kina petit walikua wanazabwa mavibao hadharani alafu wanaishia kusema "sorry madame"
Hahahha eti sorry madam hahaha,wamechoka vibao ss hv wamerud kw wake zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…