Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Jaribu kutumia Dawa yangu hii fanya hivi:Jamani asanteni mimi sio mtu wa kichupi matatizo humtokea mtu
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uanda avyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama
saga,vikisha sagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili
vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri
unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi ya kawaida ya kuto tapika.Baada ya SIKU 7 Utaona
matokeo yake hakuna tena hayo maradhi.
Pia kama una Presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana
Presha,labda
Unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!