Ugonjwa gani huu nisaidieni wanaJf

Ugonjwa gani huu nisaidieni wanaJf

Jamani asanteni mimi sio mtu wa kichupi matatizo humtokea mtu
Jaribu kutumia Dawa yangu hii fanya hivi:

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uanda avyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama

saga,vikisha sagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili

vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.



Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri

unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)


Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi ya kawaida ya kuto tapika.Baada ya SIKU 7 Utaona

matokeo yake hakuna tena hayo maradhi.

Pia kama una Presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana

Presha,labda

Unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
 
Jamani siyo yeye tu hata mimi nna tatizo hilo. Mficha .......hazai. Nimepimwa marie stoppes nikaambiwa vipomo vinaonyesha sina gonjwa lolote la zinaa. Sasa vipele ndobkama hivi kwenye shina tena upande mmoja tu wa uume.
 
Picha ya sehemu adhirika
 

Attachments

  • 1390051877360.jpg
    1390051877360.jpg
    49.7 KB · Views: 282
Hpv at work. Kimbia hospital tena.
 
kk jitahd uende hosptl ila kuna dokta yupo regency pale ni mtaalamu wa magonjwa ya ngozi so atakusaidia saana anaitwa mgonda
 
Back
Top Bottom