Ugonjwa gani huu?

Safi sana, hata mie kuna kuku anafanya hayo! Watoto wanamwita 'kichaa'! Ulipata dawa?
 
Huyo kuku anaupungufu wa vitamini E hilo tatizo kuku hawaambukizani ila mtenge nunua dawa ambazo ni mult vitamin umpe atapona.
Kuku akipata upungufu wa vitamin E huwa anapata hitilafu kwenye ubongo ndio hupelekea hio hali unayoiona.
 
Asante sana mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…