- Thread starter
- #21
Mbona mwenyewe ni mtetea?hahaaaasSio ugonjwa ila inaonekana kàtoka kufumania mkewe anamegwa na kuku mwingine. Mke anauma we acha tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mwenyewe ni mtetea?hahaaaasSio ugonjwa ila inaonekana kàtoka kufumania mkewe anamegwa na kuku mwingine. Mke anauma we acha tu.
Basi kasalitiwa na bwana ake hahaha anyway....nafikiri ushapata msaada wa kuku wako toka kwa wataalamu.Mbona mwenyewe ni mtetea?hahaaaas
Safi sana, hata mie kuna kuku anafanya hayo! Watoto wanamwita 'kichaa'! Ulipata dawa?Wakuu salamu za asubuhi
Naomba mnitoe tongotongo, huu no ugonjwa gani kwa kukuna dawa yake ni nini?
Kuku anakuwa Kama amepaniki, anaangalia juu ya Mara chini, anazungukazunguka, anarudi kinyumenyume, yaani fujo tupu.
Hata kula anashindwa ni km amepata kichaa. Mimi siuelewi huu ugonjwa,wadau karibuni kwa maelezo.
Ni kuku wa kienyeji

Huyo kuku anaupungufu wa vitamini E hilo tatizo kuku hawaambukizani ila mtenge nunua dawa ambazo ni mult vitamin umpe atapona.Wakuu salamu za asubuhi
Naomba mnitoe tongotongo, huu ni ugonjwa gani kwa kuku na dawa yake ni nini?
Kuku anakuwa kama amepaniki, anaangalia juu na mara chini, anazungukazunguka, anarudi kinyumenyume, yaani fujo tupu.
Hata kula anashindwa ni kama amepata kichaa. Mimi siuelewi huu ugonjwa,wadau karibuni kwa maelezo.
Ni kuku wa kienyeji
Asante sana mkuuuHuyo kuku anaupungufu wa vitamini E hilo tatizo kuku hawaambukizani ila mtenge nunua dawa ambazo ni mult vitamin umpe atapona.
Kuku akipata upungufu wa vitamin E huwa anapata hitilafu kwenye ubongo ndio hupelekea hio hali unayoiona.
Kuna mkuu kanishauri nimnunulie vitaminSafi sana, hata mie kuna kuku anafanya hayo! Watoto wanamwita 'kichaa'! Ulipata dawa?
Vitamin EKuna mkuu kanishauri nimnunulie vitamin
na bado mi🖐 tena hadi kuku wapate kichaa kabisa.Kuku anakuwa kama amepaniki
Tukimaliza kulipa Ada tutibu kukuADA ADA ADA ADA ADA